Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Wanamsemo wao wanasema mwanaume inatakiwa uwe na muscurality,sijui nipo sawa
 
Sasa kuna haja gani ya mwanamke kufanya kazi kama kipato chake hakisaidii familia.
Mimi ni mwanamke lakini siwezi kuacha kumpa mwenzangu hela kama ana shida.
Unless kama huyo mume naye ni mbinafsi.
 
Hili liwe dedication kwa wavulana. Wanawake/wasichana wengi wanapenda kuingia kwenye ndoa kuliko wanaume.
Hivyo they can do anything waolewe, ila kun fumbo kwanin wanapenda hiyo ndoa wakati wanapenda ishi maisha binafsi ndoani.

-KATAA NDOA WAKO SAHIHI.
-WANAOWACHUKULIA WANAWAKE NI CHOMBO CHA STAREHE WAKA SAHIHI.
 
Pole sana mkuu mkeo ni mbinafsi au na wewe huwa unamnyima pesa za mahitaji yake ndiyo maana kaamua kulipiza
 
Perfect,
Mke anafanya kazi na kuingiza kipato then mtu anahangaika mitaani wakati mwenzake anaweza kumsaidia?

Ila nina wasiwasi jamaa sio mrudishaji, akikopa kwa mama either harudishi au anachelewa kurudisha. Wake zetu ukienda nao sawa hawana shida.

Inawezekana hawajakaa vizuri na mkewe.
Kukopa sio raha, ila maji yakitufika shingoni ni lazima iwe hivyo. Sasa kabla fedheha haijatoka nje ya familia ni vyema kubebana humo ndani.
 
Sasa kuna haja gani ya mwanamke kufanya kazi kama kipato chake hakisaidii familia.
Mimi ni mwanamke lakini siwezi kuacha kumpa mwenzangu hela kama ana shida.
Unless kama huyo mume naye ni mbinafsi.
Labda pengine hujanielewa......

Mwanaume ndio mwenye jukumu la kimsingi la kumtunza mke wake.....na ndio maana yake anatakiwa ajitathmini kama ana uwezo huo ndipo aoe kama hana afanye subira huku akipambania hali hiyo.......

Kutokana na mageuzi ya mifumo ya kimaisha kwenye jamii wanawake nao wameingia kwenye utafutaji......lakini hilo haliondoi jukumu na wajibu wa mwanaume kumhudumia mkewe......

Lakini pia wakati mwingine changamoto hujitokeza kwenye maisha na mwanamke kama uwezo kifedha akipima uwajibikaji wako hasiti kukusaidia......
 
nadhan ulioa kabla ya muda wako kufika (uliwahi sana)
 
Huo mtoko wa coco ulikuwa na taarifa nao?
 
Tafuta asiyena kazi umlishe wewe pesa hazitakuishia mfukoni, amini kabisa lkn Hawa wenye kazi mtakoma na akili zenu, eti pesa imeniishia nimkope wife sio umkope akupe for free kabisa hapo ndo ujuwe huyu tuko pamoja, anyway sisi wake zetu ni wa nyumbani na pesa haiishi mfukoni, na ikiisha anachukua mabaki yanayobaki kwenye matumizi unapewa Mume.
 
Na je ikitokea mme ameumwa kwa muda mrefu na hana nguvu za kwenda kazini ni nani anayetakiwa kuiokoa familia?
 
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Mbona kamaa huu uzi ni wa kutunga?
 
Wanaume Dhaifu aliowasema Jana Robert Heriel
 
Mke hujui yuko wapi mpaka unaangalia status yake?
Hivi kweli mke huyo ama
Mke akitoka hakuagi anaenda wapi?
Una kopa hela kwa mke
Hii kali, huyo naweza sema sio mke bali mnaishi tu pamoja.
Umeona uandike tu MKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…