Hao wanasindikizana hawajaoanaMke hujui yuko wapi mpaka unaangalia status yake?
Hivi kweli mke huyo ama
Mke akitoka hakuagi anaenda wapi?
Una kopa hela kwa mke
Hii kali, huyo naweza sema sio mke bali mnaishi tu pamoja.
Umeona uandike tu MKE
Hakuna mke na Mme hapoHao wanasindikizana hawajaoana
Hayo ndio Matokeo ya kuoa mwanamke kwa kigezo cha SURA nzuri Na TAKO ....Hakuna mke na Mme hapo
Kweli wanasukuma siku tu
Eti mke anakula Bata 😄
Ya sukari na maji tuYA maziwa au ya rangi?
Anahisi akikupa nawewe unaenda kuchukua mshangazi tabia zako umezisahauWakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Uwekewe siti yako peponi.Mwanamume
Unapofanya maamuzi ya kuoa.....tambua kuwa jukumu la kulea, kuhudumia na kutunza familia ni la kwako.....
Muweke mbali mkeo na majukumu yanayo kuhusu wewe......na kama akifanya basi iwe kwa utashi wake na sio kwa shinikizo......
Kweli kuna muda mambo yanakuwa magumu lakini usimfanye mkeo kama mlango wa kutatua changamoto zako.....
Angalia cycle ya marafiki zako......
Pesa unanyimwa, kapime watoto DNA.Wakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
Aingie kwenye nini achukue nini???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mwanaume kama kichwa cha familia ndio kiongozi wa suala la kiuchumi ndani ya familia ...kipato anachoingiza mwanamke wako inatakiwa ukijue na pia aweke sehemu ya kipato chake katika fungu la familia...
Sasa ww nashangaa kama card za benk za mwanamke unajua password si ni kuchukua hela tu na ww kumpa taarifa baadae kwamba ulichukua kiasi flani kwa ajili ya jambo flani..
Kama upo mbali ulipaswa upige simu moja tu kwamba unahitaji kiasi flani cha fedha....
Chifu jitengenezee mfumo wa kujiwekea akiba kwenye account moja ww na wife wako....
Jeuka basi nikuone😎Pesa za kwetu ni kwa ajili yetu mkuu [emoji1787] ila pole alikuchokufanyia mke wako sio vizuri kabisa
Sasa mbona na nyinyi Wanawake mnapenda watoto zenu wa Wanaume wa nje walelewe na Waume zenu na mnamsemo wenu ukipenda bora penda na ua lake.Sasa huyo si ni mkewe! Muulize akwambie sababu yakunyimwa pesa na mkewe kuna mmojà alikuja na kesi hapa akaulizwa kisa, eti Mwanzo tulikuwa tunaweka wote mezani lakini alipojua nimezaa nje na mwanamke mwingine sijawahi ona hata mia, sasa ona mwanamke gani mjinga atafanya ujinga huo!
Kujenga kwao na kusaidia ndugu zake.Kwa hiyo we mzee, mshahara wa mwanamke una kazi gani
Utanikimbia sura ya baba anguJeuka basi nikuone[emoji41]
Wanaoa hawana hata mia eti ndoa ni baraka lazima utoboe tu🥴Mwanamume