Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Upo sahihi ila kwanini aongeze madeni wakati Mtu WA karibu yupo WA kumsaidia ....Mm naona Yuko sahihi na kapata picha sahihi ni MDA WA kuchukua hatua
 
Hayo ni makubaliano yenu kwny ndoa yenu.

Mnaishi jinsi mnavyokubaliana.

Wengine wanakubaliana mke akipata pesa anaenda kuhonga vi ben ten.
 
Siyo vizuri kukariri, inategemea tu na utashi wa mtu, haijalishi ni mama yako au mke wangu.

Mimi mke wangu ndio analipa ada za watoto na ananinunulia nguo, lakini mama anataka mimi ndiyo nimpe, hata kama anacho.
 
Eti huyu nae ni mume wa mtu, aisee!
Mnajikutaga wababe nyuma ya keyboard..sasa unataka ampige? Au unataka amuache kisa kamnyima hela? Wanawake sisi ni wachoyo..tunapenda kupewa hyo ndo asili yetu..sisi ni wabinafsi...
Japo sio jambo zuri
 
Basi usichukie Kwa kunyima pesa nenda kapambane huko
 
Ata wanawake mungu anawao a walivyo kuwa na roho za kibinafsi na tamaa ya kumuondoa mwanaume hapa duniani waishi wao na shetani
Mbona wewe hujaondolewa upo sahizi hapa unanirushia matofari?
 
Basi usichukie Kwa kunyima pesa nenda kapambane huko
Kuchukia lazima kama vile nyie mnavyochukia tukiwanyima. Why? Because of expectations. Its is expected of a man to provide for his wife but it is also expected of the wife to show appreciation and be a hellping hand when ghe husband is on a rocky patch. Its called being a human being.
So dnt tell us eti tusikarike wakati nyie wenye mkinyiwa hela makasiriko mpaka mnagawa punene.
Umeshindaje lakini mrembo?
 
Mbona wewe hujaondolewa upo sahizi hapa unanirushia matofari?
Wee mie nitaondoka 2027 wala usiwe na hofu.
Shida ni kwamba hamuwezi kutuondoa becoz sie ndio wenye mapenez na tupo tayari kuzitumia juu yenu ila nyie wenyewe kutumia hela zenu for urself mnaona kama mnakatwa na kisu vile🤣🤣🤣🤣
 
Sasa mbona na nyinyi Wanawake mnapenda watoto zenu wa Wanaume wa nje walelewe na Waume zenu na mnamsemo wenu ukipenda bora penda na ua lake.
Kumchukia mtoto uliyemkuta ni kosa kabisa wala sio sawa hata mie siwezi mchukia , tatizo linakuja tunaishi uzae mtoto nje ? Huyo mtunzie kwa mama yake huko huko! Wala siwezi ingilia tunzia huko huko
 
Kuipangia matumizi pesa ya mwanamke au mshahara wa mwanamke nikujitafutia BP isio na sababu, labda kama inapita kwenye account yako
 
Tukiwaambia mwanamke ni chombo cha starehw mnatuona sie makatili. Haya nyie wachekeeni tuu.
Hao ni kwenda nao kitaliban.
Huyo wee muache kabisa yaanikale mbususu zingine usisumbuke nae tena
👌🙌
 
Perfect,
Mke anafanya kazi na kuingiza kipato then mtu anahangaika mitaani wakati mwenzake anaweza kumsaidia?

Ila nina wasiwasi jamaa sio mrudishaji, akikopa kwa mama either harudishi au anachelewa kurudisha. Wake zetu ukienda nao sawa hawana shida.
Mke wangu akinikopesha siwezi rudisha aiseeh😀
 
Sasa kuna rafiki yake mkubwa kuliko Mke wake??,hii mitazamo ya kiafrika ndio chanzo cha matatizo mengi yanayosababisha wanawake kuwa wabinafsi na kujiona hawana wajibu wowote katika familia.
 
angempa talaka maana kavunja kiapo na hamna upendo hapo!
 
Shindwa kabisa wewe hilo pepo likutoke usiniambie tena kuwa utaondoka 2027! Usiseme tena hivyo jamani mwache MUNGU atutoe Kwa wakati wake 😢😢😢😢
 
HUNA MKE HAPO
 
Kuipangia matumizi pesa ya mwanamke au mshahara wa mwanamke nikujitafutia BP isio na sababu, labda kama inapita kwenye account yako
Hapa tunaongelea pale mume anapata finacial problems sio kwamba ndio anaitegemea na hapa jamaa anataka kukopa sio kupewa.
Sasa mume wako hushindwe kumkopesha hio ninroho mbaya tuuu
 
Shindwa kabisa wewe hilo pepo likutoke usiniambie tena kuwa utaondoka 2027! Usiseme tena hivyo jamani mwache MUNGU atutoe Kwa wakati wake 😢😢😢😢
Ah sasa wee unataka kupingana na science vipi tena wewe?
Mbona wagonjwa wa cancer wanaambiwa mzeya hapa 6 months wee kwishney hamseni suala la Mungu amtoe kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…