and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Light beers kama Heineken na hio Windhoek huwa naona zina flavor mbaya... light beers wanazi brew to be less flavorful, kwanza zina calories kidogo. Heineken bei yake ipo juu kwa sababu labda chupa yake sio returnable na ni brand ya nje.
Ukinywa beer konki kama safari halafu ukanywa Windhoek unahisi unakunywa maji, light beers za watoto wa college na wanaojifunza kunywa pombe, au unakunywa lakini uwe active kama ni mnywaji.
Lakini beer nzuri ni hizo chupa za mende...