Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Hahaha ngoja kwanza. Mchepuko unawekwa kwenye urithi? Upi? Nisimiliki hiyo bastola
 
Hahaha ngoja kwanza. Mchepuko unawekwa kwenye urithi? Upi? Nisimiliki hiyo bastola
Michepuko mingine imefanyiwa makubwa kuliko hata ndani huko loh. Michepuko ni nuksi na ni hatari na ukishazaa mwanawe awekwa kwa urithi hapo bwana afe Yani shughuli
 
Yaan sitokaa nirudie huu ujinga. Shetani amekua akisingiziwa daily wakati mtu anafanya kwa tamaa zake. Siendekezi ujinga huu hata siku moja. Wanafanyaga kwa kudhamiria kabisa. Sitaki ujinga... i will pray just when u are a good man
Mimi hata akiwa good man won't waste my energy I would rather pray for my kid, wanaume hata uwafanyeje huwa hawariziki na hawaheshimiki loh
 
Mum ama mume?
Na kwanini upate maumivu kwa ndoa isiyokuhusu? Na amekuambia anaumia? Kaa kwa kutulia mkuu. Mnapenda sana kuendekeza ujinga in the name of utiifu sijui unyenyekevu kwa mzinzi? Kaa kwa kutulia
Huyu atalewa ngoma na mchepuko ukishazaa watoto wawili na mumewe, wanaume humu Wana mpa sifa za kijinga wakati akitelekezwa na watoto atakuwa hajui loh
 
Una mdogo au dada wa kike uniunganishe? Napenda jinsi ulivyo kuwa calm licha ya dhoruba.

Ni wanawake wachache wanaweza kukubali kuwa sisi ni wawindaji. We just go outside for fun....then our love is for our family.
 
Hahahahahaha hii style ya kudondoshewa toka dirishani sijawahi kuisikia, bila ya shaka itakuwa tamu sana hii 😂😂😂😂tuwekee detaiils za mautundu yako ya hii kitu.

Huwajui wanaume Miss😂😂 hawa viumbe hata upande dirishani ufanye kama unaidondokea bado atatoka akatafute inayolala tu kama yule manzi wa Gwajima maana hizo zako atakuja kuziona kama vurugu tu
 
Michepuko mingine imefanyiwa makubwa kuliko hata ndani huko loh. Michepuko ni nuksi na ni hatari na ukishazaa mwanawe awekwa kwa urithi hapo bwana afe Yani shughuli

Na afanyiwe huko nje tu. Ila the sooner i realise hayo i quit. Sipendi mashindano ya moyo mimi.
 
Mimi hata akiwa good man won't waste my energy I would rather pray for my kid, wanaume hata uwafanyeje huwa hawariziki na hawaheshimiki loh
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nitamuombea ila siyo kwa uchungu eti abadilike hapana ila mipango ya mishe zetu ziende poa
 

Unajipa matumaini kwasababu wewe ndio umeolewa lakini unagamble na maisha yako,kama hutoambukizwa ukimwi(naombe isiwe),utapoteza ndoa yako.Hiko ulichonacho huyo mchepuko ndio anakitaka"NDOA YAKO",haupo salama bidada amkaa...nakuhakikishia atafanya kila hila mpaka akipate,hapo anaeza ajibebeshe mimba makusudi and much worse,god forbid🤞

Unajaribu kutudhirishia kama upo sawa but i can rest assure you upo depressed.Kama unampenda mumeo hasa sio kawaida kuchukulia usaliti poa kama unavyofanya lazima imekuathiri!

Tatizo lipo kwa MUME wako ndio unatakiwa umuweke sawa si mchepuko deal na mumeo.Unajitahidi kumtetea kama ni mume mwema lakini ukweli ni kwamba as long as ametoka nje ya ndoa si mwema.Huruma yako itakuponza!

Ama la wewe ni aina ya mwanamke ambae unaona huwezi jimudu mwenyewe unamtegemea mumeo ndio maana unaona uvumilie tu lakini mwanamke anayejielewa hatovumuilia upuuzi huu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…