Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
- Thread starter
-
- #301
Pole ..... Ondoka Hapo Kwa Shemeji yako .... Au ndio unasubiri aachiwe Mali kama nilivyoamuachia !!? USikae Kwa Shemeji .... Ni dharau sana ... Yaani naingia ndani kuMbandua dada yako na upo hapo... Unamsikia anakamuliwa ... Ondoka hapoUna akili ya nzi kama ulivyo mtoto wa inzi π
Kwamba umemkabidhi doc za viwanja kwa mdada kisa anakunyima papuchiππPole ..... Ondoka Hapo Kwa Shemeji yako .... Au ndio unasubiri aachiwe Mali kama nilivyoamuachia !!? USikae Kwa Shemeji .... Ni dharau sana ... Yaani naingia ndani kuMbandua dada yako na upo hapo... Unamsikia anakamuliwa ... Ondoka hapo
Pole mkuu.We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Yaani Hadi kaka zake wamechukia mno maana ndio Rafiki zangu wa kitaaa tumekuwa pamoja.... Wamemshauri weee akawa anawadharau pia hao ni KAKA ZAKE maana kwao yeye ndio mtoto pekee wa kike .... Ni zile familia wazazi wakiondoka anaachia Mji Kwa jirani ... Kwao kwetu kwetu kwao .... Limekuja suala la KUANGALIA WATOTO TOFAUTI ZETU ZISIUMIZE WATOTO TURUDIANE TULEE WATOTO KAMA FAMILIA.... Nyieeee nyieeee ndoa hiziiii ....Pole mkuu.
Msamehe huenda ametambua kosa lake.
Kwahiyo umemrudia!?Yaani Hadi kaka zake wamechukia mno maana ndio Rafiki zangu wa kitaaa tumekuwa pamoja.... Wamemshauri weee akawa anawadharau pia hao ni KAKA ZAKE maana kwao yeye ndio mtoto pekee wa kike .... Ni zile familia wazazi wakiondoka anaachia Mji Kwa jirani ... Kwao kwetu kwetu kwao .... Limekuja suala la KUANGALIA WATOTO TOFAUTI ZETU ZISIUMIZE WATOTO TURUDIANE TULEE WATOTO KAMA FAMILIA.... Nyieeee nyieeee ndoa hiziiii ....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Mkuu unacomment, unajiquote, unajijibu. Inaonekana hii issue imekuvuruga sana. Pole san chief,View attachment 2250970
Nilitoa tahadhari kwa yule mbuzi kinda, asivamie bahari bahari asiyojua........ bahariimechafuka, bila shaka ameshapotea.......Hasira za mkizi...
Sasa na huyo boss wake anaowaje Mwanamke aliyeko kwenye Ndoa!!??Ninakisa cha rafiki yangu ,kamsomeaha mkewe kuqnzia advance mpaka chuo kikuu kqishia kuolewa na bksi wake,jamaa kadata mpaka kuoata ajali mbaya sana
Huyo anataka urudi,ili akumalize kidigitali kabisa, maana anaamini kuna siku isiyokua na jina waweza rudi kwa hasira za kumzulu!!We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Kumbe kile kikao cha kutosomesha ulichelewa ukakuta ajenda imeisha na siku ya kujadili yatokanayo ukiingia mitini kwenye maji machafu.Siku mwanaume ukijielewa na kusimama kama mwanaume, mambo yatanyookaWe Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Na asiposikia asirudi hapaHuyo anataka urudi,ili akumalize kidigitali kabisa, maana anaamini kuna siku isiyokua na jina waweza rudi kwa hasira za kumzulu!!
Hili jambo si umeshalimaliza kiongozi vikao vya nini tena unashiriki, dharau + usaliti kuna haja kweli ya vikao??Yaani Hadi kaka zake wamechukia mno maana ndio Rafiki zangu wa kitaaa tumekuwa pamoja.... Wamemshauri weee akawa anawadharau pia hao ni KAKA ZAKE maana kwao yeye ndio mtoto pekee wa kike .... Ni zile familia wazazi wakiondoka anaachia Mji Kwa jirani ... Kwao kwetu kwetu kwao .... Limekuja suala la KUANGALIA WATOTO TOFAUTI ZETU ZISIUMIZE WATOTO TURUDIANE TULEE WATOTO KAMA FAMILIA.... Nyieeee nyieeee ndoa hiziiii ....
Ukiona hivyo vitu wana viepuka,si umeona kilicho tokea Mwanza,ogopa kulundika hasira kwani kuna siku utakitimiza kili ulichokuwa unakifikiria kipindi ukiwa na hasira.Pole kwa maumivu! Unless una mapungufu yanayokufanya umwage manyanga. Mwanaume lijari hawezi kumkimbia mwanamke hata iweje!
Mara zote wanaume wanaofikia maamuzi hayo huwaga hawarudigi nyuma kujua waliokuwa wake zao wanatembea na nani,nisha washudia wawili, mmoja alimfumania mkewe walikuwa na nyumba tatu akamwambia ktk nyumba zile achague nyumba mbili amwachie moja, kuhusu magari akamwachia yote. Mwana sasa hivi anadunda na maisha yake mengine.Mwanaume hutakiwi kushindwa chochote. Tafuta namna ya kumwongoza huyo mke akae sawa. Njia uliyotumia ya kukimbia tatizo utakuja kuijutia.
Kwa mfano, baada ya muda kidogo utaanza kusikia kuna kidume mwenzako amefanya makazi ya kudumu kwenye kitanda ulichonunua, nyumba uliyojenga kwa jasho lako, na anajenga kwenye viwanja vyako.
Ninaamini utawaza kubadili mawazo na kurudi kwenye mali zako kuzikomboa. Utakuja hapa upya kuomba ushauri namna ya kurudia mali, mke na watoto wako.
Kumbuka huyo mkeo hana cha kupoteza. Ukikimbia atapata nafasi nzuri zaidi ya kujiachia. Na vidume watakula mpaka atakolea.
Jitakari upya.
Kusomesha tulikubaliana ni kazi ya baba na mama au walezi. Ila pole Bro maana bora nusu shari kuliko shari kamili.We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.