Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka ufaidi maisha ya ndoa wewe jali hii principles" mlioao mjihesabu kama hamjaoa"Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30,nilifunga ndoa yangu mwaka 2019.Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini
Nakumbuka siku moja natoka zangu kazini namkuta wife kajamu,nilipouliza kulikoni sikupata jibu, kuanzia hapo hatuna mawasiliano zaidi ya kuwasiliana kama kuna kitu kimepungua nyumbani nitapewa taaarifa.
Uchumi wangu umeyumba sababu ya hizi vurungu, nimefunga nakuomba hakuna ndoa haitulii kuna wakati nikiona mtu na mke wake wakitembea njiani huku wakipiga stori na kucheka naona nijambo la ajabu nijiuliza inawezekanaje hii?.
Nimejaribu kushirikisha ndugu zake bado hatoi majibu nini ambacho nilimkosea.
Kiukweli nimestuka baada ya watu wawili kuniuliza kwanini nakonda, kwanini sina amani kama zamani?
Mimi ndugu zangu ni bingwa wa kuvumilia matatizo lakini kwa hili nimenyoosha mikono nimeamua niondoke nikaaanze maisha mapya ili nipate amani ya moyo wangu, Mungu ataibarika kazi ya mikono yangu nitainuka tena.
Lou bega
[emoji13] yani wewe...! Hako ka wimbo umenikumbusha enzi za ujana wangu.Mambo mambo eee the babies are all around me,mambo mambo eee Dancin all night long..[emoji445][emoji446][emoji450][emoji450]
View attachment 1954154 [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]aende wapi???Kabla hatujaenedelea hv migegedo inaendelea???[emoji41][emoji41][emoji41]
Hao wanatakaga yale mapenzi ya kwenye movie akikusumbua sana jifanye sharukh khan....jaribu ata kumuimbia,migegedo ya nguvu,mpe muda wako wote unaobaki baada ya kazini[emoji847]
Akiendelea nenda kwa sangoma
Ha ha! Kwani sahivi umezeeka..?[emoji13] yani wewe...! Hako ka wimbo umenikumbusha enzi za ujana wangu.
Mshauri mwenzio sasa [emoji18]
Positive vibes...huu ushauri unamfaa sana .Mungu ampe amani tu muhusika ili aone ushindi ulioko mbele yakePole sana bro. I'm around your age japo nimekuzidi miaka kadhaa michache. Nina miaka minne tu kwny ndoa.
Binafsi miezi 6 hadi mwaka wa kwanza ndio kidogo shida ilikuwepo. Nadhani ni ile kuanza kuzoeana kuishi pamoja na kuharmonise tofaui zenu kitabia,mitazamo nk. Hii ni hata kama mlikua mkiishi pamoja kabla ya ndoa bado hutokea. Mfano mimi niliishi nae na tulipata mtoto wa kwanza kabla ya ndoa (sasa tunao wawili) na bado miezi 6 ya kwanza hadi mwaka baada ya ndoa hali ilikua si nzuri.
Kwa nini najiexpose na kusema haya yote? Pengine it may help you with perspective. Pambana kunusuru ndoa yako. It will get better na niamini mimi, mkivuka hapa mtafika mbali sana na your next storm ni pale kwny mid life crisis. Mkivuka hii stage yenu ya sasa mapenzi ndio hua moto moto utakuja kupost thread huku kusimulia unavyo enziwa[emoji23]
Kila la heri. My prayers with you.
PS[emoji41] (out of scope) au aliona hii thread ikapalilia moto?
Kila nikikutana na mwanamke kimwili mara mbili simtamani tena
Wasalamu, Bila kupoteza muda kwanza mimi kijana mwenye umri wa miaka 28 sijaoa hadi mpaka leo japo kimaisha siko vibaya kivile namshukuru Mungu kwa hilo. Sijaoa kwa sababu ambazo hata mimi nikikaa hua najishangaa kwa mambo yanayonitokea. Tatizo lenyewe ni hili nikimuona mwanamke mzuri nampenda...www.jamiiforums.com
Mke wako ni kabila gani mkuu?Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini.
Nakumbuka siku moja natoka zangu kazini namkuta wife kajamu, nilipouliza kulikoni sikupata jibu, kuanzia hapo hatuna mawasiliano zaidi ya kuwasiliana kama kuna kitu kimepungua nyumbani nitapewa taaarifa.
Uchumi wangu umeyumba sababu ya hizi vurungu, nimefunga nakuomba hakuna ndoa haitulii kuna wakati nikiona mtu na mke wake wakitembea njiani huku wakipiga stori na kucheka naona nijambo la ajabu nijiuliza inawezekanaje hii?
Nimejaribu kushirikisha ndugu zake bado hatoi majibu nini ambacho nilimkosea. Kiukweli nimestuka baada ya watu wawili kuniuliza kwanini nakonda, kwanini sina amani kama zamani?
Mimi ndugu zangu ni bingwa wa kuvumilia matatizo lakini kwa hili nimenyoosha mikono nimeamua niondoke nikaaanze maisha mapya ili nipate amani ya moyo wangu, Mungu ataibarika kazi ya mikono yangu nitainuka tena.
Ila Ww Liverpool mimi nakukubali sana mkuu 😂😂😂😂. Ila nkuambie kitu?? Pamoja na ujanja wako woteeee.. utaingia mahali siku moja kimapenzi.. na utashindwa kutoka. Tena unaweza umizwa kweli kweli. Kumbuka Kila shetani na mbuyu wake mazee 😂😂😂Maaah maeeee...
Mkiambiwa MSIOE Huwa HAMSIKIII.
Tomb* halafu pita hivi uone ni nani atakuumiza.
Mungu awe nawe.
#YNWA
Mdogo wangu,kimbia!hatuoi Ili tuwape furaha wenzi wetu,tunaoa Ili mahitaji yetu yatimie,kama mahitaji yetu hayapo,suruhisho ni kuondoka,Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini.