Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Ndio maana waliomaliza hizo hatua zote mpaka kumaliza kujenga kwa mbinde wakikaa vibazani kwao wanakua na mawazo sana
Kama hutaki kufuata taratibu jenga uone kama jengo halijashushwa. Umehamaki sana mkuu, nawewe umepigwa tonetone nini?Andika vizuri mbona unawenge siwezi kuwapa pesa wezi hao eti unakuja kuelekeza kabisa jinsi ya kufanya mjinga wewe hamna mtu wq kutoa pesa hapa
Hata pumzi inalipiwa tozo kibao sembuse ujenzi?? Mi 5 tena
Pole lakini hebu apime umbali kutoka lami hadi hapo kwenye ukuta kuna meta ngapi?Hawa jamaa hua wanachoraga usiku mnene mchana huwezi kuwakuta wanachora hata ufanyaje, wanasubiri ujenge tu usiku mnene wanakuja kuchora ukija asubuhi utafurahi
Mkuu alafu huko karibu na barabara kabisa,kukutaka kibali mbona inakuhusu kabisa!!,, Mi nilitakiwa kibali wakati nimejenga umbali wa viwanja viwili vya mpira !!, Toka barabara kuu,you can imagine..,watu usema kwa tanzania ardhi ni mali ya raisi..lkn mi uona sheria hiyo ni kama zilizorithiwa toka kwa wakoloni,sijui wenzangu mwaonaje?
Nimeshajenga na hamna boya yeyote alienigusaKama hutaki kufuata taratibu jenga uone kama jengo halijashushwa. Umehamaki sana mkuu, nawewe umepigwa tonetone nini?
Nyumba ipo karibu sana na lami hata kama sijasomea mambo hayo ila panaonekana tu, ila kibali mfano kwa dodoma ni lazima. Napo ukipeleka wanakuzunguuusha weeee mpaka basi! Haya mambo π
Pole sana kiongozi; umbali kutoka barabarani ni meta 30 kila upande. Wanasema kwa aliyejenga barabara ikiwepo halipwi; hivyo anayelipwa ni aliyejenga kabla ya uwepo wa barabaraMkuu alafu huko karibu na barabara kabisa,kukutaka kibali mbona inakuhusu kabisa!!,, Mi nilitakiwa kibali wakati nimejenga umbali wa viwanja viwili vya mpira !!, Toka barabara kuu,you can imagine..,watu usema kwa tanzania ardhi ni mali ya raisi..lkn mi uona sheria hiyo ni kama zilizorithiwa toka kwa wakoloni,sijui wenzangu mwaonaje?
Alafu mwenye kujua naomba anambie jamani,hivi mwenye kuvunjiwa nyumba au kipande cha nyumba bila kulipwa fidia,anatakiwa awe mita ngapi toka barabara kuu????
Sasa kama mi nilijenga 1995, na nilipewa kibali,nyumba wameibomoa nusu,mwaka mmoja umepita sasa,niliambiwa hatustahili kulipwa,ati tulishalipwa,niliwataka wanionyeshe japo documents hizo zakulipwa,imekua ni danadana hadi nimekata tamaa,namwachia mungu atawalipa hawa kijani kwa kweli.πππPole sana kiongozi; umbali kutoka barabarani ni meta 30 kila upande. Wanasema kwa aliyejenga barabara ikiwepo halipwi; hivyo anayelipwa ni aliyejenga kabla ya uwepo wa barabara
Japo kwa maeneo ya mijini na manispaa; wanashauri kwenda kuomba kibali kabla ya kujenga ili uambiwe kama unapojenga ni sahihi
Hiyo mbona tayari ipo mzee imekuwa introduced hivi karibuni, huwezi kwenda nje kama huna $45 ya kuwaachia pale airport.Rushwa na ufisadi everywhere, itafikia kipindi tutatozwa kodi ya kutoka nje
huwezi kujenga bila kupata kibali cha ujenzi kutoka serikali ya mji ulioko
Da! Pole . Ila inaudhi sanaSasa kama mi nilijenga 1995, na nilipewa kibali,nyumba wameibomoa nusu,mwaka mmoja umepita sasa,niliambiwa hatustahili kulipwa,ati tulishalipwa,niliwataka wanionyeshe japo documents hizo zakulipwa,imekua ni danadana hadi nimekata tamaa,namwachia mungu atawalipa hawa kijani kwa kweli.πππ
Kabisa,na inatia hasira sana,Da! Pole . Ila inaudhi sana
Hebuvtueleze vizuri. Yaani kiwanja changu cha 20 kwa 20, nihesabu mita 15 nizische, nibaki na 5 kwa 20 ndo nijenge..!!??π€π€ au unamaanisha nini?Kwa mujibu wa hiyo picha, naona kama lami imepita hapo, kama meta 3 kutoka kwenye Jengo; Kama ni kweli; huo ukaribu na Lami ndio umefanya uambiwe upeleke Kibali kwa kuwa hairuhusiwi...UMEJENGA ENEO LA BARABARA. Huo umbali unaruhusiwa Mjini kati pekee tena kwa kibali maalum;
Nje ya Mji kama hapo kwako umbali ni meta 15 hadi 30 kutoka Lami kutegemea na hadhi ya barabara