jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mafuta Mazito utumika kurainisha.kiswahili oil sio mafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuta Mazito utumika kurainisha.kiswahili oil sio mafuta?
Nduthi ndio nni?Kweli umevurugwa hadi fuel unaita oil...
Sasa sikiliza dogo, kaa chini jifunze biashara ya nduthi kabla hujamkodisha mtu yeyote...
Umeipata ghafla kivipi mkuu?Kuna mazingira fulani, unakuta ela umeipata galfa kulinda isipotee unaona ufanye kitu
hahahaaa. siku na wasaa wa nini mkuu?Kachukue pikipiki sasahivi ni Saa 08:00 Asubuhi, kaanze kujifunza, ikifika mchana ushamliza wewe ni BodaBoda , kilichobaki ni kusubiri siku na wasaa.
Sijui eneo ambalo upo matajiri wanapelekewa sh ngapi.....Kama bei gani?
Iringa chiefItakuwa mbovu kiasi Cha kutoweza kutengenezeka upo wapi kwani?
Iringa chiefItakuwa mbovu kiasi Cha kutoweza kutengenezeka upo wapi kwani?
Hatari sana. Labda ni 2 stroke engineHata kama huwezi kuendesha ndio ujaze Oil ful tank?
Unatakiwa kujaza Fuel full tank oil unaweka lita moja tu baada ya muda kadhaa kutokana na mizunguko yako...
Kwa piki piki ili usipate tabu
Mpe mtu mkataba kila siku uletewe 10
Duh poleni wana familiaKuna kijana wangu mmoja alinunua pikipiki akasema bora akomae mwenyewe kulipo mpa mtu amlete hesabu,kuingia tu roaddd huyooooo alipigwa mzinga mmoja alipona ila mpaka leo mwili wake hauko sawa
Ova
Ndio mkuuUmeipata ghafla kivipi mkuu?
Kwamba ulikua huna uhakika wa kupata hiyo hela?
Ni 2 stroke enginekumbe kuna pikipiki za kutumia oil na hamsemi? waja mna siri
Shukurani walau napata mwangazaMpe mtu fanyeni makubaliano yan mkataba
Awe anakupa elf 10 kilasiku Kwa muda wa miez 12 pia service mafuta hivo ni juu yake
Mnaandikishiana mkataba kuwa unamkabidhi chombo kikipotea atawajibika pia na asipofuata mashart ni haliyako kuvunja mkataba hapo mkabidhi sasa
Lkn jitahid kutafuta kijana muaminifu na hakikisha ni yule anakuheshimu na kukuogopa ukimpa rafiki sijui shemeji imekula kwako
Hizi ni stori za walioshindwa.Kuna kijana wangu mmoja alinunua pikipiki akasema bora akomae mwenyewe kulipo mpa mtu amlete hesabu,kuingia tu roaddd huyooooo alipigwa mzinga mmoja alipona ila mpaka leo mwili wake hauko sawa
Ova
Nipo mkoan bossMpe kijana mkataba awe anakuletea hesabu kila siku 10000 zamani mkataba ilikuwa kwa mwaka lakini nasikia sasa hivi pikipiki zimepanda bei ( sijui kama kweli) kwahiyo mkataba miezi 14. Ukimpa mkataba kujaza mafuta na service ni juu yake kwako analeta hesabu tuu ila usiache kumfwatilia kwa karibu maana hakuna watu wasumbufu kama vijana wa bodaboda kuleta hesabu.
Jitahidi kumfwatilia na kumkumbusha kufanya service. Mwisho pikipiki yako ni aina gani?? Na umenunua shilingi ngapi ili ujue mkataba wa muda gani utakufaa sababu nasikia mikoani hesabu ni 7000 kwa siku tofauti na Dar hesabu ni 10000 - 13000
Huyo chizi mkuuHizi ni stori za walioshindwa.
Kumbuka Sauli kafia kwenye range tena akiwa na mtoto wake ambaye alipona.
Majanga ni anywhere.
Angalia thamani ya kununulia chombo chako je itakulipa kwa mkataba wa mwaka. All the best mkuu ukiweza kupata dereva mtu mzima kidogo ni angalau kuliko vijana wanyoa viduku.Nipo mkoan boss
Shukurani mkuuAngalia thamani ya kununulia chombo chako je itakulipa kwa mkataba wa mwaka. All the best mkuu ukiweza kupata dereva mtu mzima kidogo ni angalau kuliko vijana wanyoa viduku.
Hata wao ni wasumbufu ila wana unafuu cha msingi ni kuwa karibu na kufwatilia mienendo yake.