Nimenusurika kutapeliwa siku ya leo

Nimenusurika kutapeliwa siku ya leo

Mbona umeficha details z location, hospital na mahali alipokua huyo mtu? Hapo inasaidia nini? Weka hata namba yake hapa kama lengo lake ni kusaidia watu!
 
sio za muhimu sana hapa na haziwezi kumsaidia mtu kitu maana sina lengo la ajulikane ni nani bali watu wajue nini kinaendelea.
 
Hao matapeli mkibahatika kuwakamata wainamisheni wapigeni ndani nje.
Wangese sana hao watu.
 
Story yako ina dosari.
(i)Huyo dada wa dukani ni mwizi mwenzao?
Kama sio, aliwezaje kuwaamini watu asiowafahamu kiasi cha kuwahifadhia mzigo wao?
(ii)Kama anafahamiana nao ina maana anawajua ni matapeli na yeye ni sehemu yao?
(iii)Hao matapeli walimjuaje kiasi cha kukuelekeza upeleke mzigo hapo?
Tena mpaka na simu akapokea na kuwasiliana nao kwamba akubali kuhifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu?
(iv)Yaani huyo dada ahifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu na hajui unahusu nini (hapo nashangaa eti akakagua mzigo!) Na hata baada ya hapo aanze kuhoji uhalali wa malipo kwa mzigo usiomhusu?
(v) Huyo dada alipataje namba yako wakati aliyewasiliana naye mwanzo si wewe?

Bado ngumu kumeza
 
Dada kwa maelekezo yake anaonekana yupo innocent, Anadai jamaa alikuja asbh sana bale na akanunua mikate miwili na pia akaacha order ya maneno kwamba awekewe mingine miwili pembeni huku akionesha kujiongelesha sana kama mtu alitaka kulazimisha kuzoeleka mapema, na ndipo kabla ya jamaa kuondoka akamuomba namba yule dada na kumuambia kwamba "baadae kuna mzigo wangu mtu anauleta hapa hivyo naomba unipokelee hapa ofisini kwako maana muda huu naenda ofisini pia ni jirani na mitaa hii" so kiufupi ni kwamba dada aliandaliwa tu mapema
 
Story yako ina dosari.
(i)Huyo dada wa dukani ni mwizi mwenzao?
Kama sio, aliwezaje kuwaamini watu asiowafahamu kiasi cha kuwahifadhia mzigo wao?
(ii)Kama anafahamiana nao ina maana anawajua ni matapeli na yeye ni sehemu yao?
(iii)Hao matapeli walimjuaje kiasi cha kukuelekeza upeleke mzigo hapo?
Tena mpaka na simu akapokea na kuwasiliana nao kwamba akubali kuhifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu?
(iv)Yaani huyo dada ahifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu na hajui unahusu nini (hapo nashangaa eti akakagua mzigo!) Na hata baada ya hapo aanze kuhoji uhalali wa malipo kwa mzigo usiomhusu?
(v) Huyo dada alipataje namba yako wakati aliyewasiliana naye mwanzo si wewe?

Bado ngumu kumeza
Huo utapeli ushanikuta mimi, huyo dada alikuwaanataka kutumika kwenye utapeli bila mwenyewe kujua. Wala hajuani nao wao watu
 
Ilishamtokea mzee mmoja wa magodoro akapigwa mil 9.5, kapewa cheque kumbe akaunti ilishafungwa siku nyingi. Ikarudi unpaid na yeye mzigo kashatoa na jamaa kayeya nao
Ikawaje sasa
 
Ikawaje sasa
Mzee akadata mbio polisi but jamaa hakupatikana mpaka kesho, japo alifanikiwa kupata details za mwenye cheque. Mwenye cheque kufuatwa akasema yeye aliibiwa cheque book na alisharipoti polisi pamoja na bank. Na akadai hajaitumia akaunti mwaka mzima mpaka ikafungwa so hajui kama cheque book yake imetumika kutapeli na hausiki.
Ilikua Mbeya hiyo 2016
 
Sasa mkuu ume sema umeni samehe afu tena unani shtakia kwa Mungu sio vizuri ujue[emoji28][emoji28]
 
Hii aina ya utapeli ishaelezwa humu jamiiforum sana

Watu wanapuuza Hadi yawakute ndio wanajua Kuna utapeli.
 
Back
Top Bottom