Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i was confused mkuu, sikufanya hivyo ila nina namba yake anyday na pia office yake naijua nitafika paleAisee Pole sana na hongera kwa kufanikiwa kunusuru mzigo wako. Ila hukumpa huyo dada hata hela kidogo asante japo ya kununua vocha tu mkuu.
Aisee jitahidi ufanye hivyo, japo kidogo tu.i was confused mkuu, sikufanya hivyo ila nina namba yake anyday na pia office yake naijua nitafika pale
sio za muhimu sana hapa na haziwezi kumsaidia mtu kitu maana sina lengo la ajulikane ni nani bali watu wajue nini kinaendelea.Mbona umeficha details z location, hospital na mahali alipokua huyo mtu? Hapo inasaidia nini? Weka hata namba yake hapa kama lengo lake ni kusaidia watu!
sio za muhimu sana hapa na haziwezi kumsaidia mtu kitu maana sina lengo la ajulikane ni nani bali watu wajue nini kinaendelea.
Dada kwa maelekezo yake anaonekana yupo innocent, Anadai jamaa alikuja asbh sana bale na akanunua mikate miwili na pia akaacha order ya maneno kwamba awekewe mingine miwili pembeni huku akionesha kujiongelesha sana kama mtu alitaka kulazimisha kuzoeleka mapema, na ndipo kabla ya jamaa kuondoka akamuomba namba yule dada na kumuambia kwamba "baadae kuna mzigo wangu mtu anauleta hapa hivyo naomba unipokelee hapa ofisini kwako maana muda huu naenda ofisini pia ni jirani na mitaa hii" so kiufupi ni kwamba dada aliandaliwa tu mapemaStory yako ina dosari.
(i)Huyo dada wa dukani ni mwizi mwenzao?
Kama sio, aliwezaje kuwaamini watu asiowafahamu kiasi cha kuwahifadhia mzigo wao?
(ii)Kama anafahamiana nao ina maana anawajua ni matapeli na yeye ni sehemu yao?
(iii)Hao matapeli walimjuaje kiasi cha kukuelekeza upeleke mzigo hapo?
Tena mpaka na simu akapokea na kuwasiliana nao kwamba akubali kuhifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu?
(iv)Yaani huyo dada ahifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu na hajui unahusu nini (hapo nashangaa eti akakagua mzigo!) Na hata baada ya hapo aanze kuhoji uhalali wa malipo kwa mzigo usiomhusu?
(v) Huyo dada alipataje namba yako wakati aliyewasiliana naye mwanzo si wewe?
Bado ngumu kumeza
Huo utapeli ushanikuta mimi, huyo dada alikuwaanataka kutumika kwenye utapeli bila mwenyewe kujua. Wala hajuani nao wao watuStory yako ina dosari.
(i)Huyo dada wa dukani ni mwizi mwenzao?
Kama sio, aliwezaje kuwaamini watu asiowafahamu kiasi cha kuwahifadhia mzigo wao?
(ii)Kama anafahamiana nao ina maana anawajua ni matapeli na yeye ni sehemu yao?
(iii)Hao matapeli walimjuaje kiasi cha kukuelekeza upeleke mzigo hapo?
Tena mpaka na simu akapokea na kuwasiliana nao kwamba akubali kuhifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu?
(iv)Yaani huyo dada ahifadhi mzigo wa mtu asiyemfahamu na hajui unahusu nini (hapo nashangaa eti akakagua mzigo!) Na hata baada ya hapo aanze kuhoji uhalali wa malipo kwa mzigo usiomhusu?
(v) Huyo dada alipataje namba yako wakati aliyewasiliana naye mwanzo si wewe?
Bado ngumu kumeza
Ilishamtokea mzee mmoja wa magodoro akapigwa mil 9.5, kapewa cheque kumbe akaunti ilishafungwa siku nyingi. Ikarudi unpaid na yeye mzigo kashatoa na jamaa kayeya naoMatapeli wengine ni wanaotuma cheque au kuleta deposit slip
Ikawaje sasaIlishamtokea mzee mmoja wa magodoro akapigwa mil 9.5, kapewa cheque kumbe akaunti ilishafungwa siku nyingi. Ikarudi unpaid na yeye mzigo kashatoa na jamaa kayeya nao
Mzee akadata mbio polisi but jamaa hakupatikana mpaka kesho, japo alifanikiwa kupata details za mwenye cheque. Mwenye cheque kufuatwa akasema yeye aliibiwa cheque book na alisharipoti polisi pamoja na bank. Na akadai hajaitumia akaunti mwaka mzima mpaka ikafungwa so hajui kama cheque book yake imetumika kutapeli na hausiki.Ikawaje sasa
Sawasawa mkuu👍i was confused mkuu, sikufanya hivyo ila nina namba yake anyday na pia office yake naijua nitafika pale
Nitaleta mkasa mzimaTusimulie kidogo.
waache wapigweHii aina ya utapeli ishaelezwa humu jamiiforum sana
Watu wanapuuza Hadi yawakute ndio wanajua Kuna utapeli.