Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

Mapema sana kulalamika, huenda umekurupuka kuoa (kufata mkumbo).
 
bado sana kijana, ngoja mashemeji waanze kufurika nyumbani kwako nakuhakikishia mlangoni kwako kutajaa ndala kama vile msikitini .. usisahau kuleta tena taarifa ukifika hatua hiyo
 
Jamaa Angekua kijiweni, wangesema : Hatimaye mchafu kuoga kapata demu msafi....[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] ....!!!
 
Daah. Brother unatatizo sehemu sio bure
 
Ww ni mtu mzima sasa,na mkeo mtu mzima ,mmekutala kila mtu na tabia yake,ili muishi pamoja unatakiwa uchukue tabia zako nzuli nae achukue tabia zake nzuli kisha mnajumlisha zile mbaya mnaziacha, mweleze mkeo mapema usioyapenda ili ajue kwa maaana usipomweleza leo ,ukaaa ndio ukaja kumweleza hukooo mbele atakuambia ya kwmb umebadilika cku hizi au atakuambia umepata mwanamke mwingine, ukiwa unahamu ya ugali mwambie asubui unapotoka, na kuhusu hao mashemeji zako akiwa amekupigia cm na hana cha maana anachoongea. Kama hauna kazi msikilize maana huwenda anawalingishia wanazengo hukooo kwmb dada yangu ameolewa mjini ngoja nimpigie shemeji yangu mumsikie bila kujua kama dada yake anakumbana na kibamia au mkono WA tembo, kama hauitaji kumksikiliza mwambie nina kazi nitakucheki baadae inakuwa imekwisha hiyooo,

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli... Solution Ni kuoga
 
Nilichogundua wewe mvivu wa kwenda bafuni full stop.
 
Miezi miwili tu unaanza kulalama, asee!!! Happy kwenye mashemeji sawa, Sasa na kuoga napo😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣mkuu naona umebembea na point ya kuoga tu ndo chanzo Cha yote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa apo kero ipo wapi mzee au ndo umevurugwa
 
Kunta fanya kama meja kunta act kufa hata siku mbili unaweza nusuru ndoa.
 
Hiyo namba 4 noma[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama kuoga tuu unaona shida basi utakuwa huna jema wewe....

Na utakula makande mpaka akili ikukae sawa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…