Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

We MVULANA ndoa huiwezi mpe talaka katafute mademu.
 
Mkuu hapo unaanza maisha mapya ambayo hukuyategemea kwanza kama ulikuwa mtu wa misele tu saizi anza kuandaa sababu unaenda wapi na kufanya nini na upo na nani na ulionao wife lazima awe anawafahamu,kuoga hata kama ujisikii kuoga utaambiwa maji tayari kaoge,suala la chai na mikate na maandazi anza kuzoea,kama wife anapenda dagaa zilizochanganywa na nyanya chungu na bamia utaambiwa ni nzuri na akipata mimba hapo mziki wake ni mwingine kabisa,jambo la msingi vitu vingine chukulia kawaida tu.
 
Ukapela raha sana mzee baba... naona unatamani siku zirudi nyuma
 
huyo mwenzio ulitafutiwa??

unaonesha ulivo chanongo yan kuwekewamaji ukaoge nako ni kero kisa hutaki kuoga!!mna kazi
Kaolea Tamaa ya ngono
Mwanaume unaona Keri kupelekewa maji bafuni aisee
Wee mwanaume WA wapi Tuanzie hapo
Hata kuwajibu shemeji zako kiujanja Kwa kuwaadaa kuwapigia baadae ndo mazima hujui
 
Vitu ambavyo mim sipend:-
1.kuulizwa unaenda wapi au uko wap
2.ukimaliza kuongea na sm lazma ujieleze

Hilo la kuoga,hata mim nilpataga shda sana,unalazimishwa kuoga wakat toka asubuh nmeshnda ndani tu,yaan sjatoka hata jasho lakin unaambiwa kuoga
Kwani kuoga kuna shida gani bro?, Hadi uone ni kero.
 
JF raha pengine huyu jamaa hana hata mke,analeta porojo zake hapa.
 
yaani
Kaolea Tamaa ya ngono
Mwanaume unaona Keri kupelekewa maji bafuni aisee
Wee mwanaume WA wapi Tuanzie hapo
Hata kuwajibu shemeji zako kiujanja Kwa kuwaadaa kuwapigia baadae ndo mazima hujui
 
Hiyo ndoa mlilazimishwa jamani

Ndoa ni wito sio unasukumwa tu
 
Kwani kuoga kuna shida gani bro?, Hadi uone ni kero.
Kuoga Kuna hatua nying ndo huwa szipend kama sjatoka jasho:-
1.uvue nguo
2.ujimwagie maji
3.ujpake sabuni
4.ujisugue
5.uvae tena
6.ukajpake mafuta
7.uchane nywele

NI BORA KAZI YA KUOSHA VYOMBO KULIKO KUOGA
 
Mkuu...Acha uchafu.. nani anataka kulala na mwanaume ananuka kama beberu..uwe unaoga...mchafu kunuka we.
Wewe nawe unasema mbona hautaki kumfulia mtarajiwa nguo. Mimi siku nikioa nitahakikisha natengeneza uzio wa hatari kati yangu na shemeji zangu na hata wakwe lazima kuwepo na adabu.
 
Kaa na mkeo utatue kero zako humu hakuna wa kuzitatua.
 
Mkuu vp kazi yako ya kuzibua vyoo au? Mana kwenye kuoga hapo dah ngachoka au unataka kulala na mnolo
 
Kama ni ya Kikristo ni hadi kifo kitakapowatenganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…