Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
- Thread starter
-
- #101
Hahaha! Wamekazana kuhudu kipochi manyoya tu! Shida yangu nikufanya naye mazunguzo, kufahamu ni kitu gani kinamsumbua.Tatizo watoa comment hamjamuelewa mtoa mada shida sio mbususu eh [emoji1487] alitaka kuongea na mke Kawa bubu Tena mda mrefu asa amekwazika nyie mmekazana mbususu[emoji81][emoji81][emoji81][emoji1487]
Yaan wapwa hawamuach mtu salama 😹😹🙌🏾Hahaha! Wamekazana kuhudu kipochi manyoya tu! Shida yangu nikufanya naye mazunguzo, kufahamu ni kitu gani kinamsumbua.
Rudi tu CHAMA bdo kinakuhtaji..Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Chapa nyuchi hio wewe zazwa, unakuja kulialia humu nini. Mtomber hadi akiogope kitanda tuone atanunia wapi.Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
😁Kukupa ushauri upi tena?
Piga nyapu hiyo....anadhani alikuja kununa humo ndani🤒
Ebu nipe namba zake anieleze ana shida ganNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
#MKUU hakikisha asirud bila ku di nywaa, utakuja utusimulie chamani mechi ya mwisho.Kesho lazima arudi kwao
Ndio wewe umechukua yule ofisa wa mapatro sioWiki mbili zimetosha aise! Alikuwa very innocent, kumbe alikuwa ananiigizia tu!
😂 pole sana mkuuNatamani ningewasikiliza kataa ndoa! Uhuru sina , namba ngeni ikipigwa yeye ni wa kwanza kupokea.
Hajakomaa bado, siku alianza kujipenda kwanza yy haya mengine atayapuuzia hayatamuumiza moyoMkuu Nadhani hukuwa tayari kwa ndoa, ilitakiwa ule ule kwanza life! Umeoa kabla ya wakati wako!
Yaan ununiwe tu tayari unajuta? Polee
[emoji1787] basi nikchukue weweSi ulimpendea chura kubwa kama fuso, ukatukataa sisi wenye flat screen, haya sasa iambie hiyo chura iache kununa[emoji2957]
Asante kwa ushauri ulio tukuka.Hamna kitu kinakera kama kuniniwa bila sababu yoyote
Au sabbu ya kipuuzi
Usipo adress hili jambo mapema litakuja kuwa shida sana huko mbeleni
Silaha yake kuu ndo itakua hiyo
Alikuwa msikvu sio mtu wa kununa .Kabla hamjaoana mlikuwa mnaishije kwa upande wa maelewano?
Huyu wangu itakuwa anasumbuliwa na afya ya akili na mood swing! Nimejaribu kuongea nae ndo kwanza kakimbia na chumba chenyewe.Kumpima mtu mambo yafuatayo
Afya ya Akili
Afya ya mwili
Ni muhimu watu wengi wana mental disorder , mood swing n.k
Unaweza fatilia kujua Afya ya akili baada ya hapo waweza kujua unaanzia wapi