Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

Usikute huyo kishapata mtu wa kumchanganya akili tayari, ni suala la muda tu kabla hajakuZaylisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio Nyie mlioana sababu ya Ramadhani
 
Shida ya kuingia kwenye ndoa ukiwa haupo tayari madhara yake ndio hayo. Ndoa sio majaribio, kaa na mwenzako uyamalize.
Demu atakuwa Bikra huyo, sasa anataka mbinu za kumcontrol Mume. Hiyo mitihani anampa jamaa. Mshikaji akilegea tu ndio mwanzo mwisho atakuwa anafata orders za Mwanamke.
 
Ongea na mkeo. Na chakata hata kwa lazima ataongea tu. Ndio walivyo
 
Unapokuwa na demu wako mnaishi naye usiwe serious Sana make her a.friend than a wife
Msaidie kazi za nyumban unapokuwa upo, fanyeni outing

Kuwa serious kwenye tabia za umalaya tu kwingine relax
Asante mkuu.
 
Pole sana mkuu hapo hiyo ni trailer tu nasikia bado movie zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…