financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
😀😀 ila mapema sana kukata tamaa mkuu, mwambie hupendi mnuno abadilike kama kuna kitu aongeeChura hovyo sana,nataka nimkabidhi mtu wa kwangu nipewe flat screen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 ila mapema sana kukata tamaa mkuu, mwambie hupendi mnuno abadilike kama kuna kitu aongeeChura hovyo sana,nataka nimkabidhi mtu wa kwangu nipewe flat screen
We si ulitukataa, baki na chaguo lako hadi kifo kiwatenganishee😀[emoji1787] basi nikchukue wewe
Usikute huyo kishapata mtu wa kumchanganya akili tayari, ni suala la muda tu kabla hajakuZaylisaNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Ndio Nyie mlioana sababu ya RamadhaniNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Huu ndio Ushauri wa Kiutu uzima.Kukupa ushauri upi tena?
Piga nyapu hiyo....anadhani alikuja kununa humo ndani🤒
Demu atakuwa Bikra huyo, sasa anataka mbinu za kumcontrol Mume. Hiyo mitihani anampa jamaa. Mshikaji akilegea tu ndio mwanzo mwisho atakuwa anafata orders za Mwanamke.Shida ya kuingia kwenye ndoa ukiwa haupo tayari madhara yake ndio hayo. Ndoa sio majaribio, kaa na mwenzako uyamalize.
Sasa kama mkeo hyo p haina madharaImeshindikana kaniambia yupo P na wakati nafahamu kamaliza Alhamisi! Kibaya zaidi leo wakati anavaa nimemeona akivaa taulo.
Ongea na mkeo. Na chakata hata kwa lazima ataongea tu. Ndio walivyoNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Senior member hujui mbususu?...Mbususu ndio nn lakn naona lina2mika sana hilo neno humu jf
Mkuu unataka kusemaje? Itakuwa unayopoint ,lakini umewasilisha kwa ukakasi kdogo.Una uhakika wewe ni wa kiume?
Ushauri umepokelewaHuu ndio Ushauri wa Kiutu uzima.
Vijana wanadhani ukioa ni kikaa na simi kuchezea Insta na Facebook.
Piga Nyapu kama unaua nyoka.
Nimejifunza in hard ways, sitarudia tena ku'undermine flats.We si ulitukataa, baki na chaguo lako hadi kifo kiwatenganishee[emoji3]
Nitakuja na mrejesho hivi punde, simu yake ipo under intensive care unit ( ICU)Usikute huyo kishapata mtu wa kumchanganya akili tayari, ni suala la muda tu kabla hajakuZaylisa
Hapana mkuu, sio mimiWe ni Dulla? Na mkeo ni samia? Ndoa yenu nimehudhuria
Asante mkuu.Unapokuwa na demu wako mnaishi naye usiwe serious Sana make her a.friend than a wife
Msaidie kazi za nyumban unapokuwa upo, fanyeni outing
Kuwa serious kwenye tabia za umalaya tu kwingine relax
Pole sana mkuu hapo hiyo ni trailer tu nasikia bado movie zenyeweNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!