Inawezekana kweli mtoto anamchukulia ivo, ila sio tabia ya kuiendekeza kwa mtoto wa kike form 2 kuombaomba pesa
Shetani ashindweeeee karabasaka kariandorobosika!in Mwaiposa's voiceKatika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Kwa miaka 35 mtoto wa form 2 ni mwanao kabisa, amekuchukulia kama baba yake na hauna madhara tena kwake.
Tembea kifua mbele kwa kupata heshima unayostahili.
Ungekuwa baharia wa miaka 21 asingethubutu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Kuna shida gani kwani? Akikuomba mpe kama huna potezea, mwache aende zake. Tatizo mnawaza ngono tuBro ni mtoto wa kike aliye form 2.
Kweli ni tabia mbaya, lakini muombwaji hapaswi kuendeleza tabia mbaya. Mpe kama unayo Kama huna usimpe. Mwache aende akijitafakariAcha kukaza ubongo mkuu. Iyo ni tabia mbaya kwa mtoto wa kike kuombaomba ela wanaume
[emoji2][emoji2]Umeombwa Mia 5 umepandisha uzi jf, we ukiombwa laki unaenda cnn kutangaza
wapo wanafunzi wa dizain hiyo..mimi wakati nipo form 1 nilikua na rafiki angu alikuaga anakula ela yote shule alafu mda wa kuondoka anamuomba mtu yoyote atakaemuona mladi ni mwanaume ata akute mkaka amepaki bajaji anamsogelea anamuomba ata mia tatu yaan tulikua tunamshangaa sana.Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili.......aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.
Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujadiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.....
Wazungu jambo la kwanza kufundisha watoto wao ni kutozoea "stranger" yoyote hata kumchekea kumuomba kumsalamia nk....sisi eti kila mtu mzima mwenye umri wa baba ako au mama ni mzazi wako eti muite uncle au aunt....madhara yake mabaya sana culture mbaya sana hiyowatu mna vichwa vigumu sana..mimi nimemuelewa mkuu vzuri sana na nipo upande wake mtoto mwenye malezi mazuri ya baba na mama anaanzaje kwenda tuu kwa mtu kuomba ela tena mtu asiemjua? daaah ndo hao wanapewa na lifti kwenye noah wanaingia afu mkiwakuta wanaelea baharini mna.....
Kuna shida gani kwani? Akikuomba mpe kama huna potezea, mwache aende zake. Tatizo mnawaza ngono tu