Nimeombwa hela na mwanafunzi

Alikuomba kimapenzi? Kumpa kwako kuna uhusiano gani na jukwaa hili la Mapenzi na urafiki? Unadhani adhabu ya miaka 30 imepungua?
kutegemea na changamoto za mimba ziwakabiliazo mabinti ambazo nyingi zao uanza hivyo, nimehisi kama sijapotea kuleta hapa ingawa simaanishi nawaza ngono km unavyonifikiria
 
kutegemea na changamoto za mimba ziwakabiliazo mabinti ambazo nyingi zao uanza hivyo, nimehisi kama sijapotea kuleta hapa ingawa simaanishi nawaza ngono km unavyonifikiria
Ni mtoto mdogo tu wa miaka miwili utamwambia kwamba hukuelekeza akili yako kwenye ngono, ila poa madhali rais yetu mpendwa keshaweka dhamira yake wazi kuwa ukifanya uhalifu wa kumpa mimba mwanafunzi unapaswa kuomba radhi kisha ulipe uachiliwe...wewe endelea kumpa buku buku hizo, usisahau kumnunulia pia zawadi ya bikini kwenye birthday yake!
 
peni au daftari ni mahitaji ya lazima. samaki ni ziada tu isiyo ya ulazima kwa mtazamo wangu, mpambanaji wa ukweli anaweza kukomaa tu......ana bahati amekuja kwangu mtu mzima na muelewa. sipati picha angeenda kwa watu flani hivi
 
Reactions: Cyb
Angekuwa wa kiume ungejiuliza hayo maswali ?. Shida ni shida. Mtoto kakwama ameona atumie njia iliyo sahihi ambayo ni kuomba msaada, we ushamfikiria vibaya.
ujanja ujanja kama huo kwa wanaume ni kawaida sana, hali huwa tofauti kwa watoto wa kike.....ni nadra kuwa hivyo
 
Mkuu kwa hiyo wewe huwezi kuwasaidia wanafunz wakikuomba hela?? Kama unaendelea kuwaza unapoelekea utaenda kufungwa.
 
mi si mwanaCHAPUTA mkuu
 
ahsante kiongozi
 
Sasa we umeombwa mia tano tu unashtuka na kuanza kuleta Uzi.
Fanya kama sadaka tu,then potezea acha kuumiza kichwa kwa mambo yasiyo ya msingi,utazeeka mapema mzee
 
ha ha haaaa!! umenikomalia kiongozi, sawa
 
[emoji23][emoji23]hata me nilishawahi kuombwa na mtoto stend ya makumbusho iikuwa saa kumi na mbili jioni,kavaa uniform na hijab kaniamkia akaniambia naomba nauli sina nimepoteza nikamuuliza unakaa wapi akasema gongo la mboto,nikaomba chenji kwa wauza vinywaji wale ya elfu kumi nikampa elfu 5 akasema asante huyooo akaenda zake.
Nikutoa tu kama sadaka,Na kumchukulia kama mdogo wako. Sasa jamaa hapo juu kaona dogo kajilengesha
 
walezi (baba ni marehemu, mama yupo mbali) wapo kama km 4 hivi. umbali wa shule na mimi ni kama m200 tu. police post km 4, mkoa wa lindi
 
umeipata hoja yangu mkuu, ahsante
 
Hako katoto hakakuwa keupe keupe hivi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…