Nimeombwa hela na mwanafunzi

Nimeombwa hela na mwanafunzi

Alikuomba kimapenzi? Kumpa kwako kuna uhusiano gani na jukwaa hili la Mapenzi na urafiki? Unadhani adhabu ya miaka 30 imepungua?
kutegemea na changamoto za mimba ziwakabiliazo mabinti ambazo nyingi zao uanza hivyo, nimehisi kama sijapotea kuleta hapa ingawa simaanishi nawaza ngono km unavyonifikiria
 
kutegemea na changamoto za mimba ziwakabiliazo mabinti ambazo nyingi zao uanza hivyo, nimehisi kama sijapotea kuleta hapa ingawa simaanishi nawaza ngono km unavyonifikiria
Ni mtoto mdogo tu wa miaka miwili utamwambia kwamba hukuelekeza akili yako kwenye ngono, ila poa madhali rais yetu mpendwa keshaweka dhamira yake wazi kuwa ukifanya uhalifu wa kumpa mimba mwanafunzi unapaswa kuomba radhi kisha ulipe uachiliwe...wewe endelea kumpa buku buku hizo, usisahau kumnunulia pia zawadi ya bikini kwenye birthday yake!
 
Sijui wengine mnawaza nini.Ugali Na mandondo sometimes unachosha Na ni wananchi sisi wenyewe tunaochangia hayo makambi ya masomo chakula.Akaona Samaki wa kalumagia je ni kosa kukuomba? Mbona ulimpa sasa
Mara useme ulidhani hela ya peni au daftari
Kumbe yupo sahihi kukuomba but sio ya Samaki?
Au umewaza anakulengesha ukaozee jela?
No way to live.Nothing bad ,stay confident.
peni au daftari ni mahitaji ya lazima. samaki ni ziada tu isiyo ya ulazima kwa mtazamo wangu, mpambanaji wa ukweli anaweza kukomaa tu......ana bahati amekuja kwangu mtu mzima na muelewa. sipati picha angeenda kwa watu flani hivi
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Angekuwa wa kiume ungejiuliza hayo maswali ?. Shida ni shida. Mtoto kakwama ameona atumie njia iliyo sahihi ambayo ni kuomba msaada, we ushamfikiria vibaya.
ujanja ujanja kama huo kwa wanaume ni kawaida sana, hali huwa tofauti kwa watoto wa kike.....ni nadra kuwa hivyo
 
Mkuu kwa hiyo wewe huwezi kuwasaidia wanafunz wakikuomba hela?? Kama unaendelea kuwaza unapoelekea utaenda kufungwa.
Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.

Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.

Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili.......aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.

Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujadiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.....
 
watoto wa sasa wa shule hasa wa kike wamechangamka sana! hio ni hali ya kawaida.. wengine tunabebewa mpaka mabegi tukikutana nao njiani.. tena huuliza maswali mengi kama umeoa? unaoa lini? kwanini bado hujaoa? nibkawaida.. na kwa umri wao na changamoto za sasa ni kawaida.. kikubwa wachukulie kama wadogo zako!! tatizo lako ushawaza ku komit adultery 😂😂!! sitakosea nikisema hujiamini na hujawazoea wanawake... na bila shaka leo mnara umechubuka kwa sabuni zenye magadi baada ya kukuta lotion haikufikishi kileleni!!
.
.
.
miaka 35 ni mingi acha ufala.. kama huna mke oa! imagine 35 unalala na form two.. miaka 16 ijayo anapoolewa mume wake ambae pengine anaweza kuwa mwanao. atakuta nini kama si bwawa!!
mi si mwanaCHAPUTA mkuu
 
Ni bora umeshare mzee.
Nakushauri Futa hayo mawazo mara moja,maana hayo mawazo tu tayari una miaka 30 jela ukithubutu jumla yake 60.
Siku izi wanasamehewa wahujumu Uchumi tena kwa kurejesha walichoiba/walichodhurumu, Kwa kesi yako wewe UTAFIA JELA/LUPANGO/MAGEREZA
ahsante kiongozi
 
Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.

Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.

Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili.......aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.

Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujadiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.....
Sasa we umeombwa mia tano tu unashtuka na kuanza kuleta Uzi.
Fanya kama sadaka tu,then potezea acha kuumiza kichwa kwa mambo yasiyo ya msingi,utazeeka mapema mzee
 
Ni mtoto mdogo tu wa miaka miwili utamwambia kwamba hukuelekeza akili yako kwenye ngono, ila poa madhali rais yetu mpendwa keshaweka dhamira yake wazi kuwa ukifanya uhalifu wa kumpa mimba mwanafunzi unapaswa kuomba radhi kisha ulipe uachiliwe...wewe endelea kumpa buku buku hizo, usisahau kumnunulia pia zawadi ya bikini kwenye birthday yake!
ha ha haaaa!! umenikomalia kiongozi, sawa
 
wapo wanafunzi wa dizain hiyo..mimi wakati nipo form 1 nilikua na rafiki angu alikuaga anakula ela yote shule alafu mda wa kuondoka anamuomba mtu yoyote atakaemuona mladi ni mwanaume ata akute mkaka amepaki bajaji anamsogelea anamuomba ata mia tatu yaan tulikua tunamshangaa sana.
[emoji23][emoji23]hata me nilishawahi kuombwa na mtoto stend ya makumbusho iikuwa saa kumi na mbili jioni,kavaa uniform na hijab kaniamkia akaniambia naomba nauli sina nimepoteza nikamuuliza unakaa wapi akasema gongo la mboto,nikaomba chenji kwa wauza vinywaji wale ya elfu kumi nikampa elfu 5 akasema asante huyooo akaenda zake.
Nikutoa tu kama sadaka,Na kumchukulia kama mdogo wako. Sasa jamaa hapo juu kaona dogo kajilengesha
 
Mkuu vitu vingine umapaswa uangalie mara mbili mbili mwanafunzi wa form II amekuja kugongea mlango na kukuomba hela?! Kwani yuko mbali na wazazi wake? Je hapo shuleni kwao hadi unapokaa kuna umbali gani? Kituo cha polisi kipo umbali gani? Je ni mkoa gani? Nilisahau je ana wazazi au hana?
walezi (baba ni marehemu, mama yupo mbali) wapo kama km 4 hivi. umbali wa shule na mimi ni kama m200 tu. police post km 4, mkoa wa lindi
 
watu mna vichwa vigumu sana..mimi nimemuelewa mkuu vzuri sana na nipo upande wake mtoto mwenye malezi mazuri ya baba na mama anaanzaje kwenda tuu kwa mtu kuomba ela tena mtu asiemjua? daaah ndo hao wanapewa na lifti kwenye noah wanaingia afu mkiwakuta wanaelea baharini mna.....
umeipata hoja yangu mkuu, ahsante
 
[emoji23][emoji23]hata me nilishawahi kuombwa na mtoto stend ya makumbusho iikuwa saa kumi na mbili jioni,kavaa uniform na hijab kaniamkia akaniambia naomba nauli sina nimepoteza nikamuuliza unakaa wapi akasema gongo la mboto,nikaomba chenji kwa wauza vinywaji wale ya elfu kumi nikampa elfu 5 akasema asante huyooo akaenda zake.
Nikutoa tu kama sadaka,Na kumchukulia kama mdogo wako. Sasa jamaa hapo juu kaona dogo kajilengesha
Hako katoto hakakuwa keupe keupe hivi ?
 
Back
Top Bottom