Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Nasikia Malawi na Kenya wana mpango wa kuwa sacrifice vijana wao waende huko. Kwasasa Israel anafuta watu wa kupigana upande wao. Sasa wacha waende waje kutuletea thread hapa JF.Israel ni warzone... wapo vitani baada ya kuchukua maeneo ya wa Palestine
Mnaoenenda huko mtambue ili...
Kujifunza mambo yetuHivi alienda kufanya nini Palestina?
Harakati zimeshindwa toka 1948 mpk leoNdio harakati hizo za kudai uhuru.
Hapa mambo ya dini yanaingiaje ? Taifa lipo kwenye majonzi wewe unaanza kuhusisha ugaidi na udini, una uwezo mdogo sana wa kufikiri.Hiyo biblia yako inakufundisha kuwa unatakiwa kuwahurumia watz wenzako ila wa nchi nyingine hawatakiwi kuhurumiwa?
Alafu watu weusi siwanauawa kila siku na polisi nchini Marekani mbona hujawahi kuichukia Marekani ?punguza undina.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una uhakika kuwa mzozo wa wapalestina na Israel umeanza baada ya Hamas kufanya shambulizi?Kwan Huu mzozo ,Si Hawa magaidi waliamua kushtukiza na kumshambulia Muisrael??.
Sasa kwanini Leo Israel inawaua, mnalalama kua wanawaonea??.
Mjinga Mmoja wee !!Unaongea ujinga mtupu. Israeli haikuwepo kabla 1948 . Palestina ina haki ya kupigania uhuru wa taifa lake.
Amechoka huyo! Ya Bongo hajayamaliza sasa amehamia HAMAS.Naomba israeli iendelee kuyakanyaga haya magaidi
Kuna yule mwanasiasa mropokaji anayatetea haya magaidi
Lissu anasema ukweli. Hamas ni freedom fighters
It's possible juzi kati hapa, Hamas walitaka kufanya terror attacks against Europe. Nyie endeleeni kusema si majanga ya hukoKumbe kuna terrorists humu!?!?[emoji276]
Watu weusi wanauwa na polisi karibia kila siku nchini Marekani vipi mlisha sitisha mahusiano?Halafu bado tunashirikiana na hao palestina? Huyo mtu mweusi anauawa kwa kosa gani. Sio mwisraeli
Umekosa hoja sasa daawa imekuingia umeanza matusi shida kubwa wafuasi wa mudi vichwani reasoning hamna kama nguruwe wa hamas wakimtaja allahWe shoga hauna jipya na hujielewi
Mujahidina wenzio huu uzi hawauoni, nashangaa wewe umeuona, kaa kimya tu Ostaadh.mnahakika kama ni hamas?
Hicho ni chama cha wapigania uhuru wa palestina.Hivi foundation ya HAMAS ilitokana na nini mwenye kufahamu historia ya hawa mandezi