Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Nasikia Malawi na Kenya wana mpango wa kuwa sacrifice vijana wao waende huko. Kwasasa Israel anafuta watu wa kupigana upande wao. Sasa wacha waende waje kutuletea thread hapa JF.Israel ni warzone... wapo vitani baada ya kuchukua maeneo ya wa Palestine
Mnaoenenda huko mtambue ili...