Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Israel ni warzone... wapo vitani baada ya kuchukua maeneo ya wa Palestine

Mnaoenenda huko mtambue ili...
Nasikia Malawi na Kenya wana mpango wa kuwa sacrifice vijana wao waende huko. Kwasasa Israel anafuta watu wa kupigana upande wao. Sasa wacha waende waje kutuletea thread hapa JF.
 
Hiyo biblia yako inakufundisha kuwa unatakiwa kuwahurumia watz wenzako ila wa nchi nyingine hawatakiwi kuhurumiwa?

Alafu watu weusi siwanauawa kila siku na polisi nchini Marekani mbona hujawahi kuichukia Marekani ?punguza undina.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapa mambo ya dini yanaingiaje ? Taifa lipo kwenye majonzi wewe unaanza kuhusisha ugaidi na udini, una uwezo mdogo sana wa kufikiri.

siwezi kuendelea kukujibu, inaonyesha wazi kabisa hata hujaumizwa na kifo cha mtanzania mwenzetu alieuwawa bila sababu,
 
Kwan Huu mzozo ,Si Hawa magaidi waliamua kushtukiza na kumshambulia Muisrael??.


Sasa kwanini Leo Israel inawaua, mnalalama kua wanawaonea??.
Una uhakika kuwa mzozo wa wapalestina na Israel umeanza baada ya Hamas kufanya shambulizi?
Mm nadhani ungerudi kwenye mada zako za namna ya kukojoza wanawake hizi mada zinazo hitaji akili hazikufai.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom