kibamia original
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 262
- 768
Wewe uko JF inakuwaje uko shallow namna hii kwenye taarifaWaulize hilo swali eti halafu ni oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao[emoji1787][emoji1787].
Unawajua Waisrael wewe au unaropoka umeona hiyo boxer ya kijeshi umejiliza kaavaa kwa makusudi harafu Watanzania wengi wanafiki sana watoto 8000 waliouliwa Gaza hawana thamani zaidi ya Joshua? Au wale watoto ni Hamas hawana haki ya kuishi? Serikali inajua kila kitu ndiyo maaana imekaa kimya.
Wewe uko JF inakuwaje uko shallow namna hii kwenye taarifa
Hadi kizazi cha nne wauliweNilikuwa naona kama wanaonewa ila baada ya kuona hii clip ni bora Israel waendelee kugeuza Gaza yote kuwa vifusi tuu..
sipati video sijui tatizo ni nini.
Wewe Hamas Mjinga Mmoja.Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
sipati video sijui tatizo ni nini.
Watangoja sana,hicho kitu hakipo,upate uhuru anaekusapoti ni Iran na nchi za ajabu ajabuUhuru haochokwi kupiganiwa dogo.
Daah!!onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.
Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.
View attachment 2845313
Kaa pembeni kama huelewi 🤣🤣 video imeachiwa na quote kwamba waliua ni Hamas ,hakuna aliyeangalia kwa makini .
Baadhi ya Nchi Wana vikosi maalumu vya kijeshi kwa ajili ya Uokozi vinaitwa Rapid Response Units (RRU).ni shasema tanzania na balozi zake zisikie ukipata matatizo hakuna watakalo kusaidia ukilinganisha na nchi zengine wakifanyiwa watu wao wanaweza kupeleka makomando au kukata diplomasia kabisa.
🤣🤣🤣Hakuna footage hapo nahisi kijana hata elimu hauna ,unazijua video vya footage wewe?Hiyo footage ya octeber 7lakini imetolewa na israel baada ya gopro cam iliokuwa na footage ya gaidi mwenzako wa hamas kuuwawa
Nina maswali mengi sana..Hadi wamemkanyaga. Mmoja katumia kisu
Kwani hii alshabab ninayosikia ni tofauti na hili kundi au inamaana nyingine..naojua hicho kiarabu
Nipe uhakika hao ni Hamas ?Kwa hio unataka kusema hajauliwa na hamas aiseee huna akili