Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
I practice Islam but I strongly condemn this brutal massacre happening in Gaza
Kama hakuna mapenzi baina ya binadam na binadam zafaa nini dini
wazayuni na ninyi Hamas acheni kuua watu
 
Video ziko mbili unfortunately hii ya pili ni kuuwawa kwake akishambuliwa kwa Ak 47 kwenye close range
kijana ame fariki kifo kibaya sana
enyi Malaria 2 bi FaizaFoxy Ritz hawa ndio hamas mna shinda humu kuwatetea 24/7 wame fanya hiv kwa mtanzania mwenzetu nyie mna furahi??
Unawajua Waisrael wewe au unaropoka umeona hiyo boxer ya kijeshi umejiliza kaavaa kwa makusudi harafu Watanzania wengi wanafiki sana watoto 8000 waliouliwa Gaza hawana thamani zaidi ya Joshua? Au wale watoto ni Hamas hawana haki ya kuishi? Serikali inajua kila kitu ndiyo maaana imekaa kimya.
 
Wewe uko JF inakuwaje uko shallow namna hii kwenye taarifa
20231217_190447.jpg


Dogo soma
 
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?


Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.

Hamas waache sura zao nje hivyo ?

View attachment 2845310
Wewe Hamas Mjinga Mmoja.


Mbona Mimi Nina ma Pensi ya kijeshi .


Una Ubongo wa matope.


Hao Vijana wawili wote walitekwa siku ya kwanza magaidi wa kiislam walivyofanya shambulio la kushtukiza

Na huyu Kijana aliuawawa siku ileile ya kwanza, Walipokua wanawalazamisha kubeba mateka kuwaingiza upande wa pili wa Israel.
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.


View attachment 2845313
Daah!!

Inauma sana.

Wazazi wake wakiiona hii video wataumia sana.
 
ni shasema tanzania na balozi zake zisikie ukipata matatizo hakuna watakalo kusaidia ukilinganisha na nchi zengine wakifanyiwa watu wao wanaweza kupeleka makomando au kukata diplomasia kabisa.
Baadhi ya Nchi Wana vikosi maalumu vya kijeshi kwa ajili ya Uokozi vinaitwa Rapid Response Units (RRU).
 
Hiyo footage ya octeber 7lakini imetolewa na israel baada ya gopro cam iliokuwa na footage ya gaidi mwenzako wa hamas kuuwawa
🤣🤣🤣Hakuna footage hapo nahisi kijana hata elimu hauna ,unazijua video vya footage wewe?

Hiyo vidoe imeshootiwa katika mfumo wa undercover agent kama alikuwa anashoot.


Ile footage ya kutungua ile ndege uliona walifikia wapi ?
 
Very sad.

Tukubaliane hapa kilichofanywa Kwa Mtz mwenzetu hakikubaliki.

Lawama ziwafikie wote wanaohusika Kwa namna moja au nyingine

1. Umoja wa mataifa UN walawaaniwe Kwa kushindwa kuresolve huu uhasama.
2. Israel walawaaniwe Kwa kutumia mabavu kuishi na wapalestine
3. Hamas walaaniwe Kwa kuendesha vitendo vya kigaidi
4. Waliomshaur na kufanikisha Joshua kwenda Israel walaaniwe Kwa kushindwa kumuongoza vema Kwan ipo waz Israel ni nchi ambayo ipo pale Kwa sababu ya mabavu tu hivyo si salama kuwa Israel au Palestine
5. Walaaniwe wote wanaoshabikia vita
 
Kwa hio unataka kusema hajauliwa na hamas aiseee huna akili
Nipe uhakika hao ni Hamas ?

December 13 ndio wamekubali kifo cha jamaa ,sasa walitoa wapi hiyo video na wanadai mwili bado wanao Hamas .

Ngoja tuone Hamas kwamba wamekaa na mwili kwa miezi miwili.
Screenshot_20231217-182625.png
 
Back
Top Bottom