JAMANI hizo boxer za kumwaga Kariakoo zinauzwa hata hata za watoto wadogo zipo, machinga wanatembea nazo lukuki nyingi 3,000/=. Maskini alikuwa " at the wrong place at the wrong time". Nawaombea sana wazazi, ndugu, na marafiki MUNGU wetu awe nao ktk kipindi hiki kigumu kwa kweli. Kuanzia Oktoba hadi leo. Duh! Poleni sana ndugu zangu
 
Kwahiyo hayo ni maigizo yanashutiwa huku wakitaja allah akbar safi kabisa
Gaidi wewe unajichekesha bure hii damu joshua italilia kizazi chenu chote
Shoga sikiliza unaweza kukubali yaani wameua halafu maiti wakae nayo miezi miwili..Baada ya kukubali waliua mateka wao then wametoa video hii .
 
 
FaizaFoxy unaitwa huku uje uwatee muuwaji wa ndugu yetu.
Propaganda au sio propaganda, Joshua amekufa kwa namna mbaya sana akiwa mikononi mwa Hamas, hilo unalizungumzia ndugu yangu, toa mkono wa pole kwa familia FaizaFoxy. Ndio undugu wenyewe tulionao kama Watanzania bila kujali dini, imani, makabila au tofauti zetu.. Hivi huoni watu humu ndani wanavyokugombania kama mpira wa corner? kila mtu FaizaFoxy ... Toa pole ueleweke hata kwa kuwatetea hao HAMAS.
 
Wewe bibi kikongwe shetani mkubwa funga domo lako.
Huyo bibi nilishaacha kumfuatilia kitambo sana. Kile kipindi cha Kikwete kila ufisadi utakaoletwa hapa lazima aje atetee. Nikajua huyu itakuwa ni CCM kindakindaki mfia chama. Ilipofika awamu ya Magufuli ghafla kabadilika kaanza kumponda waziwazi kila kwake hakuona jema lolote kwa Magufuli. Awamu hii karudi tena kwa mama. Nimemfutilia sana nikagundua ana udini mkali sana ndani yake.
 
Mungu wangu, hii video wazazi na ndugu zake wasiione tafadhali, wanasema mmama yeyote aliyewahi kuzaa hua na huruma kwa watu maana anajua uchungu wa mtoto, Sasa kuna huyu mama wa humu akiiona hii video atafurahi
lazima ndugu zake washaiona ila nimemuonea huruma mtoto mdogo wa 2002 tu, bora wangemteka wakae naye kuliko kumuua au waliona hana faida kwenye exchange?
 
Hakika

Mama yake ndio anaumia zaidi

Inauma mno
 
Waulize hilo swali eti halafu ni oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao🤣🤣.
Alienda maosomoni kujifunza kilimo, hiyo siku alitekwa ndio siku Hamas walivamia kwa kushitukiza na kuua raia wengi na kuteka wengine, hakukuwa na vita kabla.
 
Wewe hiyo hapo ni Ghaza au Israel au wapi?

Msituletee video clips za uongo halafu mseme za Molel kutafuta huruma na shutuma za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…