Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Si tuliambiwa mmoja wa Mateka ambao wapo Gaza? Hapo Israel amekuja vipi tena?Hakuna kitu Serikali itasema. Hakuna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tuliambiwa mmoja wa Mateka ambao wapo Gaza? Hapo Israel amekuja vipi tena?Hakuna kitu Serikali itasema. Hakuna.
Sasa umesikiliza walichosema hapo mbona bado unabisha?Sana tu, unawajuwa mazayuni wewe?
Kwahiyo kuita watu mbwa ni kwaya sio matusi?Acha matusi we kafiri.[emoji16]
JAMANI hizo boxer za kumwaga Kariakoo zinauzwa hata hata za watoto wadogo zipo, machinga wanatembea nazo lukuki nyingi 3,000/=. Maskini alikuwa " at the wrong place at the wrong time". Nawaombea sana wazazi, ndugu, na marafiki MUNGU wetu awe nao ktk kipindi hiki kigumu kwa kweli. Kuanzia Oktoba hadi leo. Duh! Poleni sana ndugu zanguSubhanallah
Wallah
Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna
Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]
Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah
Ndugu zangu tuache udini katika hili
Uislam hauruhusu haya mambo Qattu
Daah nimeumia mno
unadhani wazazi hawajaiona?The bad thing serikali still haitalaani hilo tukio,hivi wazazi na marafiki wakiona wanajiskiaje
Shoga sikiliza unaweza kukubali yaani wameua halafu maiti wakae nayo miezi miwili..Baada ya kukubali waliua mateka wao then wametoa video hii .Kwahiyo hayo ni maigizo yanashutiwa huku wakitaja allah akbar safi kabisa
Gaidi wewe unajichekesha bure hii damu joshua italilia kizazi chenu chote
Wewe umesikia wamesema nini?Sasa umesikiliza walichosema hapo mbona bado unabisha?
Tunaweza tukatetea ila sio kwa kiasi hiki mpka kwa video za wazi
Poleni sana watanzania kwa kumpoteza kijana wenu huko Israel, vita sio nzuriUsijifanye una uchugu sana ni mtanzania mwenzetu tunatoa pole kwa familia yake kifo chake kina utata serikali inatakiwa kutoa maelezo zaidi.
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
View attachment 2845298
Hii imechukuliwa na undercover agent au wenyewe , footages nyingi zinakuwa za satellite au cctv cameraTofauti yake nini!??
Propaganda au sio propaganda, Joshua amekufa kwa namna mbaya sana akiwa mikononi mwa Hamas, hilo unalizungumzia ndugu yangu, toa mkono wa pole kwa familia FaizaFoxy. Ndio undugu wenyewe tulionao kama Watanzania bila kujali dini, imani, makabila au tofauti zetu.. Hivi huoni watu humu ndani wanavyokugombania kama mpira wa corner? kila mtu FaizaFoxy ... Toa pole ueleweke hata kwa kuwatetea hao HAMAS.FaizaFoxy unaitwa huku uje uwatee muuwaji wa ndugu yetu.
Huyo bibi nilishaacha kumfuatilia kitambo sana. Kile kipindi cha Kikwete kila ufisadi utakaoletwa hapa lazima aje atetee. Nikajua huyu itakuwa ni CCM kindakindaki mfia chama. Ilipofika awamu ya Magufuli ghafla kabadilika kaanza kumponda waziwazi kila kwake hakuona jema lolote kwa Magufuli. Awamu hii karudi tena kwa mama. Nimemfutilia sana nikagundua ana udini mkali sana ndani yake.Wewe bibi kikongwe shetani mkubwa funga domo lako.
Wasimtafute mchawi uislam hauruhusu kuua mtu bila sababu za msingiNimeuliza swali, mbona linakuwa gumu sana kujibu?
Huyo si alitekwa na Hamas, vipi sasa aonekane kafa Israel?
Hiyo inayopigwa risasi ni maiti tayari hiyo.
lazima ndugu zake washaiona ila nimemuonea huruma mtoto mdogo wa 2002 tu, bora wangemteka wakae naye kuliko kumuua au waliona hana faida kwenye exchange?Mungu wangu, hii video wazazi na ndugu zake wasiione tafadhali, wanasema mmama yeyote aliyewahi kuzaa hua na huruma kwa watu maana anajua uchungu wa mtoto, Sasa kuna huyu mama wa humu akiiona hii video atafurahi
HakikaJAMANI hizo boxer za kumwaga Kariakoo zinauzwa hata hata za watoto wadogo zipo, machinga wanatembea nazo lukuki nyingi 3,000/=. Maskini alikuwa " at the wrong place at the wrong time". Nawaombea sana wazazi, ndugu, na marafiki MUNGU wetu awe nao ktk kipindi hiki kigumu kwa kweli. Kuanzia Oktoba hadi leo. Duh! Poleni sana ndugu zangu
Uchungu utapoa tuu tuwaombee wapalestina wapate uhuru wao haya yote yataisha.Fala mamako na babako waliozaa nguruwe kama wewe uliekosa utu wa kupoteza ndugu yako wa damu nguruwe kabisa
Alienda maosomoni kujifunza kilimo, hiyo siku alitekwa ndio siku Hamas walivamia kwa kushitukiza na kuua raia wengi na kuteka wengine, hakukuwa na vita kabla.Waulize hilo swali eti halafu ni oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao🤣🤣.
nawe kati ya great thinker utajihesabu u miongoniWaislamu sio magaidi
Ila magaidi wote ni waislamu
Wewe hiyo hapo ni Ghaza au Israel au wapi?Propaganda au sio propaganda, Joshua amekufa kwa namna mbaya sana akiwa mikononi mwa Hamas, hilo unalizungumzia ndugu yangu, toa mkono wa pole kwa familia FaizaFoxy. Ndio undugu wenyewe tulionao kama Watanzania bila kujali dini, imani, makabila au tofauti zetu.. Hivi huoni watu humu ndani wanavyokugombania kama mpira wa corner? kila mtu FaizaFoxy ... Toa pole ueleweke hata kwa kuwatetea hao HAMAS.