Kwani unajua dini ni nn? Hata wewe una dini , kumbuka mauaji ya kimbali ndio utajua kwamba hujui...

Hakuna anayeshabikia kifo wala mauti ya mwingine ila tunakataa propaganda...yaani wakose footage za mateka yao ila watoe moja ya Mtanzania tena black.

Agenda kurise ishu ya kuchukiwa na watu weusi .


 
Lengo ni kuelimisha jamii
Ninasikitika kwa hiyo kijana na wote waliopoteza maisha katika mzozo huu. Mungu awape pumziko la Amani.
===
Kuhusu hii clip:

Tutadhibitishaje kuwa hawa wanaomshikilia kijana anayedhaniwa ni Ndugu yetu ni wapigania haki wa Hamas? Tuanzie hapo kwanza.
Pia nani alirekodi hii video, na nani ameitoa hiyo video.!?
 
Dah,nilikua nawatetea hapa mpaka nikajenga chuki kubwa na israel kwa kushabikia kwao ushoga ila kwa walichomfanya huyo kijana na wafutwe wote pumbavu zao wanyama sana NA KUANZIA LEO SIWAUNGI MKONO HAMAS wala israel ila washikishwe tu ukuta maniner zao
 
I feel your pain as me Too But .
Why you people Don't feel disgusting about the killings of innocent children's in Gaza instead? Hypocrisy
 
Vita ina mambo na propaganda nyingi. Ni uthibitisho gani unaonyesha hao waliohusika na mauaji ni Hamas na si waisrael? Uchunguzi makini tu ndo unaweza kutoa majibu na si video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…