Hata tz yanayokea hayo. Waulize chademaNchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Nashangaa Serikali ya CCM ikiongozwa na Mhe. Samia imekaa kimya!Video hii anaoneshwa akiuawa na HAMAS
Bado serikali ya Tanzania ipo kimya
Nakucheka wewe mjinga unayekubali uongo..Mtu amekufa we unacheka una akili timamu mzee?
Usiwe kama huelewi kwamba baadhi ya matekwa walipewa special treatment na huyu aliuliwa ? Kama walikuwa nayo hiyo video kwa nn wasitoe muda sana !?Naona unauliza vimaswali flani ivi ili kukwepesha/kuchanganya mada.
Hongera bhana.
Palestina ni Human Animal ndio maana hawatakiwi hata ukimbizi are always turn to become enemy and criminals are in bloodWapalestina ni binadamu kama sisi.
Wanaosababisha haya mauaji ni NATO na US kwa kuchochea uhasama baina ya Israel na Palestina
MkuuSilaani hata kidogo lakini he must stand for humanity for all. Namuona ni mnafiki kwa sababu unyama unaofanyika Gaza kila binadamu mwenye akili timamu anatakiwa aone na apinge kwa nguvu zote asipofanya hivyo tutamuona ni muuaji tu na yeye.
HAPANAPalestina ni Human Animal ndio maana hawatakiwi hata ukimbizi are always turn to become enemy and criminals are in blood
Serikali ya Tanzania imekaa kimya.
Mkuu kinachotokea Gaza ni "Genocide " huwezi linganisha na vita yeyote inayopiganwa hapa duniani kwasasa.Mkuu
Je yanayotokea Cabo Delgado, Somalia, Juba, Khartoum, DRC na maeneo mengine Africa ambapo maelfu wanakufa, je yameinua sauti ya dunia kulaani au kuna utofauti wa kufia Gaza na kufia kwenye battlefield Africa?
Nalaani vita yeyote. Nalaani mauaji yote. Nalaani viwanda vyote vya silaha za moto
Wewe umepeleleza?Hii video imetolewa na Israeli leo. Umepeleleza kidogo kujua walivyoipata kutoka kwa hamas?