Tushughulike na Hamasi ya Tanzania (ccm) ambayo ikiwa chini ya jiwe imeua akina Azory Gwanda, Ben Sa8, Akwilina na kuwapigia risasi akina Lisu,

Hamasi ya Tanzania (ccm) chini ya uongozi wa jiwe ikiwatumia akina Makonda, Gambo, Mnyeti, Hapi na Sabaya pia ilitesa, iliteka, ilipora, ilifilisi na kuua watu wengi sana.
 
cease fire is futile
 
Acha utoto kwenye mambo serious
 
Waisrael ni kama wana macho na mtazamo wa ziada, huenda kuna jambo walikuwa wanalotafiti
 
Wanasema Mollel kauwawa Oct 7, serikali ya TZ ingetabiri kwamba kuna shambulizi litatokea siku hiyo ili iondoe raia wake ndani ya Israel au unaandika kwa mihemko tu hapa.
Tuambie ni serikali gani iliondoa raia wake kabla ya shambulizi.
 
Inawezekana kabisa ni AI generated. Haiwezekani eti tangu Oktoba 7 leo ndio waitoe mtandaoni ilikuwa wapi? Kwanini hawakuitoa? Kweli israeli aache kuonesha unyama wa Hamas tangu tarehe 7 oktoba mpaka leo. Nakataaa
 
Kukusaidia tu wewe na wengine wasioelewa humu.

Hamas = M23
Serikali ya Palestina = Serikali ya Congo


Balozi wa Palestina Tanzania Hana Mahusiano na Hamas anatoka Serikali ya Palestina ambayo ipo based western Bank.

Serikali ya Sasa ya Palestina na Hamas haziendi na ukiponda Hamas kwanza huyo balozi anafurahi, ni Makundi ambayo hayapatani na yanapigana vita Miaka zaidi ya 30 Sasa .

Kama Uliona Serikali ya Palestina ilitaka kuwa Assassinated na hao hao Hamas karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…