Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Tushughulike na Hamasi ya Tanzania (ccm) ambayo ikiwa chini ya jiwe imeua akina Azory Gwanda, Ben Sa8, Akwilina na kuwapigia risasi akina Lisu,

Hamasi ya Tanzania (ccm) chini ya uongozi wa jiwe ikiwatumia akina Makonda, Gambo, Mnyeti, Hapi na Sabaya pia ilitesa, iliteka, ilipora, ilifilisi na kuua watu wengi sana.
 
Hii inaumiza lakini wanayofanyiwa wapalestina inaumiza pia. Unaposikia uchungu kwa mtu wako mmoja kuuwawa jaribu kuwaza wao ambao wamekua wakiuwawa kwa maelfu wana feel aje. Israeli kwa sasa siyo salama kupeleka vijana kufanya kazi nimesikia nchi moja jirani wana mpango huo watawapoteza vijana huko ni eneo la vita.
cease fire is futile
 
Tushughulike na Hamasi ya Tanzania (ccm) ambayo ikiwa chini ya jiwe imeua akina Azory Gwanda, Ben Sa8, Akwilina na kuwapigia risasi akina Lisu,

Hamasi ya Tanzania (ccm) chini ya uongozi wa jiwe ikiwatumia akina Makonda, Gambo, Mnyeti, Hapi na Sabaya pia ilitesa, iliteka, ilipora, ilifilisi na kuua watu wengi sana.
Acha utoto kwenye mambo serious
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Waisrael ni kama wana macho na mtazamo wa ziada, huenda kuna jambo walikuwa wanalotafiti
 
Kweli kabisa mkuu serikali yetu imeonesha udhaifu mkubwa sana kwenye suala la vifo vya watanzania huko Israeli. Wenzetu walisimamia raia wao wakaondolewa salama katika eneo la vita sisi tumekaa kimya kusubiri watakachoamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema Mollel kauwawa Oct 7, serikali ya TZ ingetabiri kwamba kuna shambulizi litatokea siku hiyo ili iondoe raia wake ndani ya Israel au unaandika kwa mihemko tu hapa.
Tuambie ni serikali gani iliondoa raia wake kabla ya shambulizi.
 
Hii ni video ya kutengeneza kutumi AI packge specific kwa kutengeneza filamu. Na hii ni kazi ya kitengo cha propaganda ndani Israel.
Pole kwa wafiwa. Marehemu alikua pahali pabaya na wakati mbaya pia. Inawezekana aliuwawa na wayahudi kwa paniki zao siku hiyo ya october 7 sababu ndege zao pia zilushambulia raia wao wakifikiri ni Hamas
Inawezekana kabisa ni AI generated. Haiwezekani eti tangu Oktoba 7 leo ndio waitoe mtandaoni ilikuwa wapi? Kwanini hawakuitoa? Kweli israeli aache kuonesha unyama wa Hamas tangu tarehe 7 oktoba mpaka leo. Nakataaa
 
Nimeangalia mara moja nimeshindwa kuangalia tena na sitairudia video ya Mollel akiuwawa kama Mnyana na Magaidi wa Hamas


View: https://twitter.com/city_digest/status/1736456144141291774?t=ZIdFoft_BByEtU3vDYiNMQ&s=19

Fatilia hii Twitter ujionee huu unyama.

Samia na Makamba Balozi wa Palestina anatakiwa Kuitwa na Kujieleza, na ikiwezekana tunatakiwa kukemea hili jambo hadi AU.

HamasISIS Wapigwe na Israel iikalie Gaza hili jambo lisijirudie

Kukusaidia tu wewe na wengine wasioelewa humu.

Hamas = M23
Serikali ya Palestina = Serikali ya Congo


Balozi wa Palestina Tanzania Hana Mahusiano na Hamas anatoka Serikali ya Palestina ambayo ipo based western Bank.

Serikali ya Sasa ya Palestina na Hamas haziendi na ukiponda Hamas kwanza huyo balozi anafurahi, ni Makundi ambayo hayapatani na yanapigana vita Miaka zaidi ya 30 Sasa .

Kama Uliona Serikali ya Palestina ilitaka kuwa Assassinated na hao hao Hamas karibuni.
 
Back
Top Bottom