Kama ni hivyo mbona alikuwa anaomba dunia iingilie kichapo cha hamas??.........wale wote ni wamoja tu.........nyani ni wale wale tofauti poli ...........wafe wapalestina wote na hamas wao.......Netanyahu wauwe elfu 10 kwa niaba ya raia wa tanzania wazalendo kulipiza kisasi cha raia wao 2
 
Ww ni mpumbavu kwanza iulize serikali ya nchi yako iwapo itakuwa inaitambua Hamas kama kundi la kigaidi.
Mimi naitambua Hamas kama kikundi cha kugaidi, serikali yangu itajijua yenyewe!
 
Wewe kama unaunga mkono ugaidi usijifiche fiche kwenye viswali vya kijinga.

Siku ya tukio Magaidi Hamas walipovamia waliua na kuburuza raia wengi tu kwenye magari yao, labda ulikuwa ICU ndio wamakuruhusu leo? Eti tukio la kupikwa, kwani Hamas kuua na kuteka raia ni jambo geni? Si ndio huwa wanafanya hivyo? Si ndio kawaida ya magaidi?
 
Wewe huyo kauliwa na wajomba wa Mungu zenu, kwanza hiyo picha kwanini itoke sasa?

Nani kaitowa?

Wacheni ujinga, miaka zaidi ya 2000 mazayuni hao wanawaaminisha wao wajomba wa mungu zenu hamstuki basi hata huo ujinga mliotumiwa nao hamstuki?
Propaganda katika vita vya wenzetu ni jambo la kawaida sana katika kutafuta moral support ya dunia.

Hamas hiyo video isingekuwa yao wangeshaikana.

Majuzi ‘Joe Biden’ kawaonya Israel japo anaunga mkono vita vyao in principe, ila aungi mkono tena means zao za kufikia lengo.

Clearly hiyo video imetolewa na Israel wana highly infiltrated intelligence ndani ya maeneo ya Gaza na nje ya mipaka ya eneo.

Hamas hawajakana hiyo video na uhusika wao, kwa maana hiyo ni wahusika.

Ni hivi Tanzania pia inatakiwa kuwa na mipaka yake kwenye support,
na hakuna sababu muhimu kama kuona raia wake anauliwa kinyama vile.

Bila ya nchi kuitangaza Hamas ni kikundi cha kigaidi, ni matusi kwa watanzania. Aina maana kusema serikali aiungi mkono movement za free state ya Palestine democratically.

Hamas ni kikundi cha hovyo
 
So far kwa wanaofahamu siasa za palestina wanasema wale jamaa sio Hamas ni Al Aqsa brigade (Hamas ni Al Qasam) unaweza angalia hii tweet


View: https://twitter.com/talhagin/status/1736390642001916267
Na wanaouliwa Palestina ni civilian so far Hamas bado wapo Strong, watu wote Duniani hawatetei Hamas bali wanatetea wananchi wa kawaida wanakufa kila siku.
 
Mi nisipoelewa huyu kijana kuvaa boxer ya jeshi.
Ingawa ninayo combat ya namna hiyo pia ila sio boxer.
Anyway RIP.
 
Hamas hawana muda huo, ni chama kidogo cha kisiasa ambacho sasa hivi kipo bize kumchapa zayuni.
 
Hamas hawana muda huo, ni chama kidogo cha kisiasa ambacho sasa hivi kipo bize kumchapa zayuni.
Muhimu kwa serikali ya Tanzania ni kutotambua jitihada zao.

Vinginevyo ni kuwadharau watanzania.

Feelings zako za mapenzi ya Hamas kwa minajili ya kidini, hazina uhusiano na watanzania wengine waliokuwa wanaunga mkono free Palestine state. Ambao wameumizwa na hiyo video; japo wanaelewa shida za wapalestine lakini aina maana iunge mkono kila mbinu zao za hovyo hasa pale inapoua vijana wake.

Hamas ni kundi la kigaidi
 
Shida ya kuongozwa na mwanamke ,hajui nini cha kufanya angekuwa mwanangu magu hata ubarozi wa palestina tungeufuta tz ,na yule barozi mwehu tungemfukuza
 
kuna video nyengine kulee telegram mapalestina yakimuingiliaa kinyumee na maumbilee yule dogo mwingine mtenga...inauma sana mazee
 
Rudia Message yangu kusoma nahisi ujaelewa contents vizuri
 
Lengo lao watu wawachukie hamas wawaone kama wauaji
Ila watashindwa nampaka sasa washashindwa tayari
Pole kwa familia ya mollel pole zao sana sana sanaaa
Ila ukweli tutaendelea kusimama na hamas wapigania uhuru
Ila Hamas kwanini wamuue mtu hajui hata lugha yao?
 
Vita haina macho mura......pole sanaa
 
Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia

Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?

Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?


Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao

WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…