Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Angalia kwanza walivyovaa ,just spot the difference na kwa pembeni kuna mtu na demu wake wanatembea ,tumia akili sana utaelewa.
View: https://youtu.be/rVL1AnPq6vs?si=IchVSHQ3UejoNnOT
View: https://youtu.be/DTK04bjiWbQ?si=yCujC1T6cRd-Oic2
Hizo link zite zinaonyesha hao Hamas wakivuka kuingia Israel kufanya mauaji na kuchukua mateka. Sasa kama hawakuwahi kuingia Israel wale mateka 200+ waliwapataje? Hivi mnafikiria sawasawa kweli nyie?
Hamas sio rahisi kwa vile mziki wa Umoja wa mataifa anaujua ,hawezi kufanya ujinga huo maana itakuwa ndio mwisho wao.Nemda youtube zipo video kibao zinaonyesha wakati wamaenda kufanya uvamizi Israel Oct 7 walikua wanajirekodi hawajavaa mask. Walikua kwenye magari yao wamebeba silaha zao. Nenda zile video zipo huko kitambo hawavai mask.
Kuhusu dogo kuvaa boxer ya jeshi sijui kinachokushangaza ni nini kwa sababu hizo hata huku mtaani zipo nyingi tu. Acheni kuutetea ugaidi imagine ni mdugu yako wa damu amafanyiwa ivyo utatetea kwa sababu ni dini yako?
Kwahiyo wewe ndiye unamjua vizuri Mtoto wao? Waziri Makamba kathibitisha ameuwawa wewe ni nani unapinga?Hapa kuna maswali muhimu machache tu, Kwanza kuna chombo au family waliothibitisha kuwa anayeonekana kwenye video ndio mtoto wao? video hii nani ameitoa? je kwanini leo sio Oct? je mwili wa marehemu uko wapi? ukitoa haya maswali. Mimi binafsi kwa uchunguzi wangu na vyanzo vyangu tumeangalia hii video lakini matamshi ay lafudhi ni ya watu wa North African na imelengwa lile tukio lilitokea Libya na sio Israel. Gaddafi askari wake wengi aliajiri kutoka nchi za African kama Chad na Niger na baada ya kuuliwa ikawa wale jamaa wa Benghazi na hasira na mamluki hawa wa Chad na Niger wakawa wanawauwa baada ya kuwa wanakimbia. Hasira hizi ni kwa kuwa walikuwa watiifu sana kwa Gadaffi na walikuwa na power sasa ikawa kama kisasi. Kikubwa wahusika waje waseme anayeonekana ni mtoto wao au sio? kwa maoni yangu wale ni askari wa Libya waasi, kwa maneno na mavazi yao ni waasi wa Libya kutoka Beghazi.
Ugomvi wa palestina na Israeli haujaanza tarehe 7 October labda kama wewe ni mtoto mdogo usiyejua lolote.Ila wewe ukifa wakuchomeke mjiti wa fagio matakoni ..........kwani Israel ndio ilioanzisha vita hiyo October 7??
Mimi kama wewe tu. Hivi huwa mnasoma mnaelewa au huwa mnajibu halafu ndio unasoma swali. Mimi sijasema hajauliwa maana taarifa imetolewa na Israel. Nimeuliza kwenye ile video inayosambazwa je ni yeye kwenye ile video? Siaona kauli ya wana Family kuthibitisha huyu anayeonekana kwenye video ni kweli mtoto wetu, ndio maswali yangu sijakana kuwa amefariki. Majibu au maswali ya Serikali kujibu alienda kule kufanya nini? chuo gani? na ilikuwaje akawa kwenye maeneo ya settlers kwenye mpaka na Ghaza sehemu hatari, yako maswali mengi au alikuwa anafanya kazi pale?Kwahiyo wewe ndiye unamjua vizuri Mtoto wao? Waziri Makamba kathibitisha ameuwawa wewe ni nani unapinga?
Ameuliwa? yes kwa mujibu wa Serikali na naamini, ile video ni yeye? sijasikia kuthibitishwa na serikali wala ndugu. Mimi nasema ile video ni propaganda sababu ni ya Libya ilitokea.Kwahiyo wewe ndiye unamjua vizuri Mtoto wao? Waziri Makamba kathibitisha ameuwawa wewe ni nani unapinga?
Maswali ya kwanini Hamas wamuuwe yanatatizwa na hiyo clip iliyotolewa kwahiyo hatuwezi ku conclude moja kwamoja kuwa waliohusika ni Hamas. Hamas ndio walijirecord wakawapa Israeli hii clip?Swali la msingi. Kwanini Hamas wamuue mtz.
Mawazo hakuwa na hardest wakati anapigwa panga?
Hamas sio rahisi kwa vile mziki wa Umoja wa mataifa anaujua ,hawezi kufanya ujinga huo maana itakuwa ndio mwisho wao.
Hebu acha kuleta mzaha wewe. Rudi kaangalie ile video utaona mazingira namna hali ilivyokua. Yan hali imechafuka unasema eti mtu anatembea na demu wake. Acha mzaha weweAngalia kwanza walivyovaa ,just spot the difference na kwa pembeni kuna mtu na demu wake wanatembea ,tumia akili sana utaelewa.View attachment 2845576
Hamas anaujua mziki wa umoja wa mataifa kuliko Israel anayetengeneza video kila siku. Kila proof mnayoletwa mnasema ni staged kwakua mmeamua kuamini upande fulani.Hamas sio rahisi kwa vile mziki wa Umoja wa mataifa anaujua ,hawezi kufanya ujinga huo maana itakuwa ndio mwisho wao.
Kwa hiyo Boka haram hawajwahi kutumiwa vikosi vya umoja wa mataifa?Boko harama wanaua watu kwa kuwachinja, umoja wa taifa umefanya nini?
Hauna uhakika ni Hamas ebu tulia .Hebu acha kuleta mzaha wewe. Rudi kaangalie ile video utaona mazingira namna hali ilivyokua. Yan hali imechafuka unasema eti mtu anatembea na demu wake. Acha mzaha wewe
Kwa hiyo Boka haram hawajwahi kutumiwa vikosi vya umoja wa mataifa?
Kafanywa nn tangu alipue hospital ,kauwa mateka wake watatu juzi , kaua waandishi wa habari .Hamas anaujua mziki wa umoja wa mataifa kuliko Israel anayetengeneza video kila siku. Kila proof mnayoletwa mnasema ni staged kwakua mmeamua kuamini upande fulani.
Ikadaidia nini fala wewe?
Mbona tunasikia kila siku wameua kiongozi wa Boko haram hao umaja wa mataifa.Ikadaidia nini fala wewe?
Ndio , na Wana matatizoNchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Mnafiki mkubwa mvaa msalaba wa mbao kilo 3 unajifanya una uchungu kumbe chuki imekujaa kwa Waislam Gaza wameuliwa watoto zaidi ya 8000 unashangilia humu JF kusifia mabasha zako magaidi wa Israel.So sad mijitu mikatii inamtumikia mungu wao allah!
cc:wavaa vipedo wote ,misuli na makobazi.waumini dini ya mnyazimungu
Ritz
FaizaFoxy
Alwaz
kimsboy
green rajab
View attachment 2845559