Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
View: https://twitter.com/AmiramKrasner/status/1736370468939030841?t=NmWTXKMrCE__jRwLmV6Ybg&s=19We kwa fikra zako hawa ni nani?
Hivi alienda kufanya nini Palestina?
umefika msibani kama ulivotuambia hapaPunguza ujinga danganya wajinga wenzio hizo sura zote unaweza kuzoom uliona wapi Hamas wapo uso wazi ..
View attachment 2845311
Ndio alie watuma auwe watumbona wanamtaja Allah anahusikaje hapo?
Kwani mkuu hapa bongo wanajeshi wanalipoanzisha msako wa kukusanya vifaa vyao vya kijeshi toka kwa raia walikua wajinga au walidhan hao wananchi ni wanajeshi wa nchi jirani. Kuvaa military underwear haimaanishi alikua mjeda. Na huyu alidakwa kw
Nafikiria hata mavazi ya kijeshi hujui basi nenda google kaandike Hamas then utapewa sare zao.enye hilo shambulio walilolifanya hamas. Punguza udini
We rangi gani kwanza mweusi kama joshua mollel au kama hao jamaa wenye vestPunguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
Nafikiria hata mavazi ya kijeshi hujui basi nenda google kaandike Hamas then utapewa sare zao.
View attachment 2845316
Ni magaidi pia fullstopI seeee! Anayeshabikia ugaidi hajitambui