Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Kwani mkuu hapa bongo wanajeshi wanalipoanzisha msako wa kukusanya vifaa vyao vya kijeshi toka kwa raia walikua wajinga au walidhan hao wananchi ni wanajeshi wa nchi jirani. Kuvaa military underwear haimaanishi alikua mjeda. Na huyu alidakwa kwenye hilo shambulio walilolifanya hamas. Punguza udini
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?


Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.

Hamas waache sura zao nje hivyo ?

View attachment 2845310
 
Hamas na kofia ya hivyo daa
Hebu acheni kuamini kila kitu
Mtu anatokwa povu bila hata kutafakari
Ndio nyie mnaambiwa laleni chini mkanyagwe mnalala
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, wakaanza kumkanyaga tumbo na kumpiga risasi tisa.


 
Gaza ingekua huru nadhani Joshua angekuwa huru bahati mbaya imemkuta kwenye uwanja wa vita though hauhusiki. Nilisikia kuna nchi inataka kupeleka vijana huko eti kuna kazi. Jamani israeli na ukanda huo kwa sasa siyo salama tulieni majumbani mwenu.
 
Kwani mkuu hapa bongo wanajeshi wanalipoanzisha msako wa kukusanya vifaa vyao vya kijeshi toka kwa raia walikua wajinga au walidhan hao wananchi ni wanajeshi wa nchi jirani. Kuvaa military underwear haimaanishi alikua mjeda. Na huyu alidakwa kw

enye hilo shambulio walilolifanya hamas. Punguza udini
Nafikiria hata mavazi ya kijeshi hujui basi nenda google kaandike Hamas then utapewa sare zao.

Screenshot_20231217-182625.png
 
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?


Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.

Hamas waache sura zao nje hivyo ?

View attachment 2845310
We rangi gani kwanza mweusi kama joshua mollel au kama hao jamaa wenye vest

Angalia hapo chini footage za october 7 mbona hata sura za nguruwe wa hamas zinonekana

View: https://twitter.com/DrBlues777/status/1733997525202247998?t=lfBRLPH1GXGi48xdTyRmvw&s=19
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?


Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.

Hamas waache sura zao nje hivyo ?

View attachment 2845310
 
Inabidi sisi kama watanzania tupaze sauti kukemea na kulaani hiki kitendo, hii mijitu inalaana sasa huyo kijana amewafanya nini maskini.
 
Back
Top Bottom