Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo uanaume ni kutukana watu hovyo na kuita binadamu wenzako nguruwe kisa kutofautiana mawazo kama unavyo fanya ww?Mwanaume hawezi kuandika uquma kama wako jiandae kuwa chakula
Mpaka sasa namba inakaribia elfu 20 wa-Israel wanatusaidia kulipa kisasi.Kashindwa mjomba wa Mungu wenu kwa miaka 75 sasa akisaidiwa na mabwana zake, utaweza wewe?
Wewe ndio una uhakika ni IDF sioHauna uhakika ni Hamas ebu tulia .
Mnhh!! Mkuu!?? Kweli, yule aliofariki awali!??kuna video nyengine kulee telegram mapalestina yakimuingiliaa kinyumee na maumbilee yule dogo mwingine mtenga...inauma sana mazee
Uliona nimetoa nyuzi za shutuma hapa!Wewe ndio una uhakika ni IDF sio
Kama wewe unavyopigana na hamasUkitaka nenda kabisa kwenye mahandaki ukapigane na IDF
Kwa hiyo ww ndo utafanya uchunguzi dhidi ya hao unao waita magaidi?Mimi naitambua Hamas kama kikundi cha kugaidi, serikali yangu itajijua yenyewe!
Yeye kashindwa nini kufungua wa kwakeFungua uzi wake
MassheleWewe niwale wale [emoji23] em taja jina
Duh!imekatwa vipande gani pale!?...afu clip imekatwakatwa vipande.
Aya mambo ya vita + hizi media Acha kabisa...
Anyway vita ni vita haichagui wapi pa kupiga na yupi.....imesomba vitoto,vizee,wagonjwa na vijana wengi uko Palestina
We nae akili ndogo kabisa kabla ya kuuwawa si alishikwa ,unaona kaachiwa ?Tumieni akli kidogo, mliambiwa kashikwa na Hamas, sasa leo vipi tena?
Ukiwambia haya wanakataaNi kazi sana. Gaza imekua "open prison" kwazaidi ya miaka 60 kila kinachotumika Gaza anaeamua kiingie ni Israel. Ndani ya West Bank kwenye miji ya jenin Nablus wapalestina hawatambuliki na israeli imekua ikiwakamata na kuwafunga katika jela za israeli ukionekana tu unaongea ongea kuhusu uovu wa israelik wapalestina. Ndani ya palestina kuna kambi za wakambizi zaidi ya 20 ndani ya nchi yao wenyewe.
Mkuu hutaamini lakini israeli anawafungwa watoto wa kipalestina zaidi ya 800 kwenye magereza ya israeli hii ipo kabisa kwenye sheria zao.sijasema watu wazima .hawa wapalestina wanapitia tabu kubwa sana lakini hakuna wa kuwasaidia. Wanapojitahidi kupambana ndio kama hivi wanaitwa magaidi. So sad. Dunia inewatupa.
Oslo accord 1993 ilikuja na azimio la two state solution. Leo hii israeli hataki kusikia suala la kuundwa kwa taifa la palestina na balozi wao wa UK alisema wiki iliyopita alipofanya mahojiano na Sky news.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawasaidie kudai uhuru gaidiMbna unaongea kwa uchungu sana kijana wa kizayuni
Hamas pigeni kazi
Wameshindwa mababu zao mpk wamekufa na wao wanaendelea kushindwaUkiwambia haya wanakataa
Hamas waendelee kupambana haki haiombwi inapambaniwa