Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mpaka kufika hapa nishapiga block wadada wawili ambao walikua wanalazimisha nivunje amri ya hii Challenge yetu.

Kimwili Siku 15 za kwanza zilikua ngumu kuvumilia ila nilishinda.

Kwa sasa napambana kiakili naona bado kuna kitu hakijakaa sawa.

Sitaki kukumbuka kabisa yale mambo ila nashangaa kumbukumbu hazifutiki.

Lengo langu ni Siku 60 ili niingie Honey moon nikiwa mtu mpya.
 

Attachments

  • Screenshot_20241124-155204.jpg
    148.5 KB · Views: 8
Kaka ulivuka kweli?
 
Ili wiki nitatoboa kweli! Ngoja nikaze buti.
 
Reactions: ywf
Ya wanawake inaitwaje?

Afu ukitoa je?
 
Nimekuwa nikisikia sana benefits za nofap.
Nataka nizishuhudie mwenyewe.
Nitaanza na miezi sita (180 days)
 

Attachments

  • Screenshot_20250312-114424_1.jpg
    291.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…