Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mwaka Jana nimefanya sana hiyo challenge Ila ilikua ikifika miezi miwili na relapse
Mwisho wa siku nikaja kugundua ni ngumu sana rijali kuish bila kula demu au jerking off maana unaweza kubaka kabisa ilifika hatua nikawa natamani kila demu had wamama
 
Nipo mwaka wa tatu au nne hiv sifanyi mapendi ila zile za ndoto nyevu hunitokea ila sio sana. Kwangu ni kawaida sana hadi nimezoea
Safi sana man, naombea sana nifike huko na nitafika tu.
 
Hahahahaha.. ukaamua kusaliti chama la NoFap...... vipi hukuwahi kurudia tena!!!!!!?
 
Halafu baadae jioni unapokea text kutoka kwa Mary anauliza "Nimekumiss sana baby upo gheto nije?"[emoji39]
 
Karibu chama la wana UWABATA litakufaa sana
 
Hahahahaha.. ukaamua kusaliti chama la NoFap...... vipi hukuwahi kurudia tena!!!!!!?
Leo nimeamua nianze tena challenge nmedownload app ya iron will inisaidie kuhesabu ni siku ngap nitakaa bila kula demu/nyeto nikifanikiwa kufika miez 3 najua hata akili itakua mpya
Ila inatakiwa u unfollow kila kinacho shawish ngono hasa madem wenye tako na usiangalie sana mademu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…