Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hii app unaitumiaje man, na mimi niinstall
 

Hao walikua vilaza tu [emoji3], It has nothing to do with sex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interesting challenge. Nawatakia kila lenye kheri. Mtaweza tu wakuu kikubwa msimamo na Rehema za Bwana. Yes you can do it...na mkishafanikiwa na muoe sasa maana maendeleo yatakuwepo ili mjilie vya kutosha, kwa uhalali bila kupimiwa sijui kuhonga kisa umemlala sana....all the best
 
Hii app unaitumiaje man, na mimi niinstall
Hiyo app unakua nayo kwenye simu tu unaistart inaanza kuhesabu siku toka ile siku uliyoanza challenge ya nofap
Kwahiyo hata ukisahau umekaa siku ngap bila ku relapse ukiingia kwenye app unakuta imeshakuhesabia bila kupoteza kumbukumbu Kama ni siku 20 utakuta imekuanfikia day 20
 
Una umri gani nduguyang, je umedhamilia kweli? Kumbuka muda haurudi nyuma na usije ukafika uzeeni ukaanza kujilaumu kwann hukutumia ujana wako. Kama we ni kijana kama mimi tumia muda huu kutimiza maagizo au kuenjoy. uzeeni ndio ufanye hilo zoezi lako.
 
Siku ukipiga huo mchuzi utakaoumwaga sio poa

Mimi nikaaga hata wiki mbili siku nikichakata mwanamke ananiambia nimemwaga nyingi sana
 
mi naona hii ni vita kati ya me na ke..

kwa hyo tufe na Utamu wetu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…