TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kijana wangu kuna zaidi ya hiyo uliyoandika hapo, mfumo wa mwili wa mwanamke una nafasi ya kujisafisha na kutoa baadhi ya uchafu hata mfumo wao wa damu una tofauti na wako.Maana tunapofanya mapenzi mwanamke yeye ana GAIN wakati mwanaume ana LOSE na ndiyo maana babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii.
Mwanamme ana hizo njia za mwili kujirekebisha kutokana na nature tuliyoumbiwa, hii inafanya baadhi ya takataka kubaki mwilini, ninaposema takataka ni hata stress nk.
Mwanamme kufa mapema hakusababishwi na kumwaga mbegu mapema kuna mambo mengi ikiwemo homoni yao wkt wa kujamiiana ya estrojeni humlinda na magonjwa hadi anapomaliza kuzaa.
Ila kwa sisi wanaume homoni yetu ya kama sijakosea inaitwa testerone inakuwa na nguvu na inahusishwa na hatari kubwa ya magonjwa na kubeba mambo kibao mwilini.
🔹Sorry kwa maelezo marefu!.