Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ukichanganya Na Imani Inasaidia.
Imeandikwa 'USIZINI' naishi humu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa 'USIZINI' naishi humu mkuu
Kwan unataka kuachive Nini?Hii challenge ngumu sana kama una mpenzi just imagine mimi mtu wangu alikuwa mbali sasa kafika wiki iliyopita tangu jmos namkwepa nisimshughulikie kaniona kama nasaliti ivyo nimekamua sana jana, Ninachoshukuru ni mkristo na anaenda kufunga kwaresma nitajitahidi katika siku hizo.
Au wenzangu wenye wapenzi mnafanyaje usimpoteze kipenzi chako kwa maneno yatayomfanya asione unamkwepa??
Alaaa kumbe kama una mpenzi unatakiwa uage mashindano[emoji2]Kwan unataka kuachive Nini?
Kama una mpenzi kula sana.
No fap ni nzr kwa wanaoangalia porn na punyeto. Ili waache.
Mimi toka boxing day Niko strong mpaka Leo. Niko very busy na ratiba zangu ziko scheduled. Nafanya pranks Kila siku hii inanichosha nyonga na mikono. So usiku ni kupiga usingizi wa nguvu ( nadoubt wezi wataniibia maana nalala kama mfu)
Kesho yake naamka fresh na kufanya kazi kwa nguvu
Ninatongoza wasichana pia. Siku nikipata mmoja wa kumla naachana na hii challenge
Yote kwa yote inabdi usikutanr na mtu wako faragha, kutana nae kwenye mikusanyiko ya watu ila Ile sijui mnakutana nyumbani au getoni apo kuweza kushinda inakua ngumuUkichanganya Na Imani Inasaidia.
nakubal kakantakula wapi ? mie ni fundi umeme, aka electrical technician, kubebe nguzo na kuunga nyaya fresh
na nyeto kama kawa
sawa kabisa centrifugal pumpnakubal kaka
Yote kwa yote inabdi usikutanr na mtu wako faragha, kutana nae kwenye mikusanyiko ya watu ila Ile sijui mnakutana nyumbani au getoni apo kuweza kushinda inakua ngumu
Kila la kheri naona umewasha na vpn kabisaSijawahi kufika 90 days acha nianze sasa kuzitafuta.View attachment 2917991
Unajikia vp mkuuStill, I raise.
75 days:-
No sex.
No porn.
No Masterbation.
No Soda.
🔥More running exercise 💪
Maji Lita Tano Kila siku. Lita Moja Kila asubuhi kabla ya Kunywa chai.
Push-ups 50 per day.
Kegel exercise. Kwa wingi🔥🔥
Mwili unafanya detoxification, na mabadiliko ni makubwa sana.
View attachment 2938092
Mabadiliko ni makubwa sana kuanzia Maisha yangu ya nje mpaka kiroho, maswala ya tamaa ya mwili kwangu ni kama nimeshinda.Unajikia vp mkuu