Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hii challenge ngumu sana kama una mpenzi just imagine mimi mtu wangu alikuwa mbali sasa kafika wiki iliyopita tangu jmos namkwepa nisimshughulikie kaniona kama nasaliti ivyo nimekamua sana jana, Ninachoshukuru ni mkristo na anaenda kufunga kwaresma nitajitahidi katika siku hizo.

Au wenzangu wenye wapenzi mnafanyaje usimpoteze kipenzi chako kwa maneno yatayomfanya asione unamkwepa??
Kwan unataka kuachive Nini?
Kama una mpenzi kula sana.

No fap ni nzr kwa wanaoangalia porn na punyeto. Ili waache.

Mimi toka boxing day Niko strong mpaka Leo. Niko very busy na ratiba zangu ziko scheduled. Nafanya pranks Kila siku hii inanichosha nyonga na mikono. So usiku ni kupiga usingizi wa nguvu ( nadoubt wezi wataniibia maana nalala kama mfu)
Kesho yake naamka fresh na kufanya kazi kwa nguvu

Ninatongoza wasichana pia. Siku nikipata mmoja wa kumla naachana na hii challenge
 
Alaaa kumbe kama una mpenzi unatakiwa uage mashindano[emoji2]
 
Mdogo mdogo
超级截屏_20240216_085218.png
 
14 Days Down.

"No Sex Nalala Mapema Nakimbia Kilometres 3 Napiga Push Nakunywa Maji" ~ T I.D
Yote kwa yote inabdi usikutanr na mtu wako faragha, kutana nae kwenye mikusanyiko ya watu ila Ile sijui mnakutana nyumbani au getoni apo kuweza kushinda inakua ngumu
 
Still, I raise.
75 days:-
No sex.
No porn.
No Masterbation.
No Soda.

🔥More running exercise 💪
Maji Lita Tano Kila siku. Lita Moja Kila asubuhi kabla ya Kunywa chai.
Push-ups 50 per day.
Kegel exercise. Kwa wingi🔥🔥

Mwili unafanya detoxification, na mabadiliko ni makubwa sana.

Screenshot_20240318-110339.jpg
 
Back
Top Bottom