Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Mbona wametuletea mishangazi bn anyway picha namba 5 wa pili kwenye mstari kama upo humu na zawadi yako
 
Hata wangefanya self service cha maana bei iwe rafiki na bei waliyoweka sio rafiki...., Hivyo kwangu mimi hii kitu ni lost opportunity
 


Chuma kikiwa kwenye karatasi
 
sare za wanaume sio nzuri. au wameogopa wakifanya njano watakuwa kama wafungwa?
 
Ni mwendo wa Abood au BM tu

Na Dom ni mwendo wa Shabiby
Na hapo huduma za treni za mizigo zikianza, kwa vile SGR ni single track muda unaweza kuongezeka maana kutakuwa na utaratibu wa kusubiriana ili kupishana stesheni.

Wenzetu walioendelea wanakuwa na reli mbili, moja kwenda na moja kurudi Ili kuondoa muda ambao ungepotea Kwa kusubiriana Ili kupishana.
 
Hivi ya kisasa ni treni au reli. Ukiangalia hii treni yetu ukatupia macho na Shinkanseni ya mjapani unabaki mdomo wazi. Siasa ina nguvu ya ku influence mtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…