Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Post niliyotolea onyo haikusema kumwoa; ninazo gololi nyingi tu.Kwaiyo umeambiwa kale hakatakiw kua na mwanaume? Au unakaonea wivu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post niliyotolea onyo haikusema kumwoa; ninazo gololi nyingi tu.Kwaiyo umeambiwa kale hakatakiw kua na mwanaume? Au unakaonea wivu?
Tukasafir kwa wingiNimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
View attachment 2969892View attachment 2969893View attachment 2969894View attachment 2969895View attachment 2969896View attachment 2969897
Mkuu,
Ngoja wakutane na wahuni. Wataviiba vyote.Sasa vibegi vya nini?
Tiketi yangu ina walakini nimeelekezwa nimtafute huyo anisaidieMkuu,
Umemaanisha Nini?
mkuu nauliza kwa Nia njema 😊😊
Sawa mkuu nimekuelewaTiketi yangu ina walakini nimeelekezwa nimtafute huyo anisaidie
Sio yeye. Tulishaanza kukatwa railay development levy toka enzi za Kikwete ili kujenga reli mpya.
sare za wanaume sio nzuri. au wameogopa wakifanya njano watakuwa kama wafungwa?Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
View attachment 2969892View attachment 2969893View attachment 2969894View attachment 2969895View attachment 2969896View attachment 2969897
Kwan kuoa lazm mi ni mpigaji tu mkuu nyie oeniPost niliyotolea onyo haikusema kumwoa; ninazo gololi nyingi tu.
Na hapo huduma za treni za mizigo zikianza, kwa vile SGR ni single track muda unaweza kuongezeka maana kutakuwa na utaratibu wa kusubiriana ili kupishana stesheni.Ni mwendo wa Abood au BM tu
Na Dom ni mwendo wa Shabiby
Du mbona ana sura ya kiboksi
Kwani sura ndiyo inasoma ticketDu mbona ana sura ya kiboksi