Zingatia maokoto tu.Ndiyo namtafuta anielekeze behewa langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingatia maokoto tu.Ndiyo namtafuta anielekeze behewa langu
Wawekezaji hawa
Hiii! Nahene!
Mbona wahudumu ni wengi kuliko abiria?
Ujui kuchagua we🤣🤣🤣sa hapa umepagawa na nn
Kwani izo treni hazina VIP rooms zenye vitanda kabisa?Unaruhusiwa kuweka booking ya tiket tu siyo ya muhudumu
Ni kweli asilimia 100.Hata mwendokasi ulipoanza ulikuwa Hivyo lakini Kwa Sasa ni hovyo kabisa.
Vya abiriaSasa vibegi vya nini?
Atakuambia mapenzi upofu.Ujui kuchagua we🤣🤣🤣sa hapa umepagawa na nn
🤣🤣mbwembwe
Nao ni wa majaribio, wenyewe halisi utawashuhudia zitakapoanza safari rasmi! This is Bongo....Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma!
Nikikukamata nitakutupia gololi kichwani na kuweka tundu kwenye fuvu lako. Watu wenye mawazo machafu kama wewe wanatakiwa wasqfishwe kutoka kwenye jamii yetu.Kuna kahudumu apo ntakatafuta namba 2 kutoka nyuma, ako wakuu niachieni
Kwaiyo umeambiwa kale hakatakiw kua na mwanaume? Au unakaonea wivu?Nikikukamata nitakutupia gololi kichwani na kuweka tundu kwenye fuvu lako. Watu wenye mawazo machafu kama wewe wanatakiwa wasqfishwe kutoka kwenye jamii yetu.
Inapendeza sana