Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

wanawalipa bei gani, hatutaki wawaanike tu dada zetu hapo na kuwapa mshahara mdogo. kama nauli wekeni yenye mashiko ili shirika lijiendeshe, mpate pesa ya matengenezo, kununua vipuri na mabehewa mapya na kulipa mishahara mizuri na msiwe mzigo kwa serikali. atakayeshindwa kupanda aende abood au shabiby.
 
Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma!
Nao ni wa majaribio, wenyewe halisi utawashuhudia zitakapoanza safari rasmi! This is Bongo....
 
Kuna kahudumu apo ntakatafuta namba 2 kutoka nyuma, ako wakuu niachieni
Nikikukamata nitakutupia gololi kichwani na kuweka tundu kwenye fuvu lako. Watu wenye mawazo machafu kama wewe wanatakiwa wasqfishwe kutoka kwenye jamii yetu.
 
Wanachojua ni kupeana peana tuu..
Bongo ukiskia kuna fursa jua wewe ndio fursa yenyewe..

Ukitaka nafasi kama hizo ni kujichanganya mjini hapo.
 
Nikikukamata nitakutupia gololi kichwani na kuweka tundu kwenye fuvu lako. Watu wenye mawazo machafu kama wewe wanatakiwa wasqfishwe kutoka kwenye jamii yetu.
Kwaiyo umeambiwa kale hakatakiw kua na mwanaume? Au unakaonea wivu?
 
Back
Top Bottom