MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Majambazi sio watu wa Propaganda kama wewe. Majambazi Wakibomoa, panabomoka tunaona. Wakihamisha tunaona hata walikohamishia. Bado hujajibu!Wacheni kujutete majambaz wakubwa nyinyi
Na kweli mlibomoa Kwa kupandikiza fitna chuki na SIASA chafu na propaganda za KITOTO mara kuokota vichwa vya treni mara kununua mapapai barabarani na kuhonga vihela ktk misafara TULIKUA TUNATAWALIWA NA WASHAMBAMajambazi sio watu wa Propaganda kama wewe. Majambazi Wakibomoa, panabomoka tunaona. Wakihamisha tunaona hata walikohamishia. Bado hujajibu!
Acha kupelekwa mawazo yako ya Waswahili wanaovaa khanga za Zanzibar et ni wanajiita wanachama.
Tanganyikans wake up!
Sema kawaida ya chademaNi kawaida ya watanzania ht Samia atakapoondoka watammis sana
Labda wapuuzi na wajinga wenzako wanaoitwa wanyonge ndio wanaweza mkumbuka..Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Wewe ndio unatimiza labdaTunatimiza unabii wake aliposema tutamkumbuka kwa mema!
Bora kwako,kwangu alikuwa ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tzn.Magufuli alikuwa ni Rais bora sana.
Hakumbukwi kwa lolote zuri ila mdhara aliyotuachia ikiwepo kugawa nchi kwa ubaguzi na upendeleo, kuwekeza kwenye miradi ya hovyo km uwanja wa ndege Chato, daraja la Kigogo-Busisi, Hosp kubwa ya rufaa Chato, SGR Mwanza ni uwekezaji wa hovyo kutokea. Ktufanya maskini kwanza kwa kutoajiri miaka yote kwasababu ya roho mbaya tu. Analaaniwa kwa kudhalilisha watoto wa watanzania waliosoma na wanadhalilika mitaani.Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Kwani wanaommis JPM ni chadema?Sema kawaida ya chadema
WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu View attachment 2093093View attachment 2093094
View attachment 2093095
Magufuli alikuwa ni Rais bora sana.
KWELIIITunatimiza unabii wake aliposema tutamkumbuka kwa mema!
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.Ndio mana wengine walishindwa jamaa alijitoa muhanga kweli kama alivyokuwa anasema mwenyewe.
Atabaki kuwa shujaa wetu namba 1. Kwa mudamrefu sana.
KabisaSiyo ajabu kwa Magufuli kukumbukwa kwa mabaya aliyoyafanya. Hata Hitler na Mobutu bado wanakumbukwa
Hawezi kukumbukwa kushinda anavyokumbukwa Adolph Hittler, Idd Amin Dadah na Mobutu SesesekoInavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Hakuna mkamilifu duniani hata wewe ni muovu tu na utaondoka kwa wakatiwako.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Bahati mbaya kwako ni kuwa, hebu jaribu kufuatilia mada nyingi humu, kuna zile za kumkashifu kwanza hazivumi pili hazina replies na like za kutosha ndipo utajua anakumbukwa kwa lipi!.Siyo ajabu kwa Magufuli kukumbukwa kwa mabaya aliyoyafanya. Hata Hitler na Mobutu bado wanakumbukwa