Siyo ajabu kwa Magufuli kukumbukwa kwa mabaya aliyoyafanya. Hata Hitler na Mobutu bado wanakumbukwa
Magufuli alikuwa ni Rais bora sana.
Tunamkumbuka kwa mengi! Ben saanane, Azory gwanda, Tundu lissu kwa kweli marehemu acha apumzike tu!
Kwa hiyo umaarufu huu wa hayati hasa toka kwa Hawa wachangiaji ni toka kwa hao wasiojulikana?Kwa watu wasiojulikana
Kwa hiyo raia wao bado wanawamisi?Kweli kabisa
Majibu yanaakisi kukata tamaa!Pole mjane.
Umepata kwanza maoni ya wale mashangazi waliotaka kupigwa ?Alikuwa Rais asie penda majungu na mwenye nia ya kuiletea maendeleo ya dhati nchi yake.
Watanzania hatujui itachukuwa muda gani kupata mtu kiongozi wa kweli kama yule dingi.
Umepata kwanza maoni ya wale mashangazi waliotaka kupigwa ?
Kwani wao wanasemaje?Umepata kwanza maoni ya wale mashangazi waliotaka kupigwa ?
Yeah, You are very right. Na walio karibu na Rasi hebu wambwambie. Ashughulikie matatizo ya watanzania wote asiwe bieed. Katiba mpya inatakiwa tangu jana!Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Wewe ndio watakiwa kutafuta na kuleta kutoka wadau/makundi mbalimbaiKwani wao wanasemaje?
Kawaulize, anzia kwa Shangazi yake Majaliwa.Kwani wao wanasemaje?
Well said.Magufuli alikuwa ni Rais bora sana.
Hiyo ligacy walikuwa wanaandikia wapi?Wale waandika Legacy wamesambaratishwa wote wakiwa chapter ya kwanza tu !!
Naam, uko sahihi sana. Mama anasaliti njia ya kimapinduxi na kizalendo ya magufuli. Anaweka wezi na wapigaji kila mahali. Tena kasema wale tu hela ya umma waipuke tu kuvimbiwa.Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Wahuni mwisho wenu unakaribia tz inakwenda kuwa mikononi mwa jeshi soon, kwa sababu serikali inefikia hatua ya kukataliwa na wananchi na kutokuaminika kwa wananchi, hivi ni vitu viwili vinavyo fungua nchi kuwa chini ya jeshiKunywa kinywaji roho yako inapenda. Magufuli atabakia tu kuwa ni Mwongo, Mwizi, muuaji na mvuruga uchumi wa Tanzania.
Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea duniani Shetani yule
Wahuni mwisho wenu unakaribia tz inakwenda kuwa mikononi mwa jeshi soon, kwa sababu serikali inefikia hatua ya kukataliwa na wananchi na kutokuaminika kwa wananchi, hivi ni vitu viwili vinavyo fungua nchi kuwa chini ya jeshi
Subiri huyu maza soon anaondoshwa ashashindwa kuongoza hii nchi ovyo Sana Huyu Maza.Jeshi gani? La Sukuma Gang? Sahau UJINGA huo Tanzania. Utaandika kwenye mtandao na utaishia hapo, hakuna mjinga anakubali kuingia mtaani. Kwanza watanzania hawana shida kihivyo