Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Rais Mzalendo, mchapakazi na anayeamini katika kujitegemea, Ni pigo kwa Taifa na Afrika nzima pia
 
Alikuwa Rais asie penda majungu na mwenye nia ya kuiletea maendeleo ya dhati nchi yake.

Watanzania hatujui itachukuwa muda gani kupata mtu kiongozi wa kweli kama yule dingi.
Umepata kwanza maoni ya wale mashangazi waliotaka kupigwa ?
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Yeah, You are very right. Na walio karibu na Rasi hebu wambwambie. Ashughulikie matatizo ya watanzania wote asiwe bieed. Katiba mpya inatakiwa tangu jana!
 
Wale waandika Legacy wamesambaratishwa wote wakiwa chapter ya kwanza tu !!
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Naam, uko sahihi sana. Mama anasaliti njia ya kimapinduxi na kizalendo ya magufuli. Anaweka wezi na wapigaji kila mahali. Tena kasema wale tu hela ya umma waipuke tu kuvimbiwa.
 
Kunywa kinywaji roho yako inapenda. Magufuli atabakia tu kuwa ni Mwongo, Mwizi, muuaji na mvuruga uchumi wa Tanzania.

Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea duniani Shetani yule
Wahuni mwisho wenu unakaribia tz inakwenda kuwa mikononi mwa jeshi soon, kwa sababu serikali inefikia hatua ya kukataliwa na wananchi na kutokuaminika kwa wananchi, hivi ni vitu viwili vinavyo fungua nchi kuwa chini ya jeshi
 
Jeshi gani? La Sukuma Gang? Sahau UJINGA huo Tanzania. Utaandika kwenye mtandao na utaishia hapo, hakuna mjinga anakubali kuingia mtaani. Kwanza watanzania hawana shida kihivyo

Subiri huyu maza soon anaondoshwa ashashindwa kuongoza hii nchi ovyo Sana Huyu Maza.
 
Back
Top Bottom