Kama uko karibu na kituo cha polisi vinginevyo ni wajinga sanaKusema ukweli boada boda ninawachukia....hala akishagonga mtu kwenye zebra, anakimbia anajichanganya kwenye kijiwe cha wenzake...anasikilizia kama kuna noma...
Kama kuna mazingira yasiyo na ushahidi, boda boda ni wakusukumia tu mtaroni
Kwani kupenda gari mpaka niwe nayo. Kweli sina gari lakini naifagilia Kluger.Mkuu nimegundua huna gari ama unaleta mapenzi ya gari unazosimuliwa au kuziona barabarani, unachopenda ww si kila mtu anakipenda, kwamba kluger ndio unarecomend iongelewe humu[emoji3][emoji2][emoji2]
Anyway msipokuwepo watu kama nyie jukwaa halichangamki
We fala acha upuuzi.Huyo jamaa ni mjinga Sana hata kule kwenye jukwaa la siasa anaoga matusi mazito Kwa ujinga wake
Mwezi m'moja ili iwaje?!Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.
Kampuni ya bima wakikuzingua kulipia claim yako, waambie wakuandikie kwa maandishi barua ya kushindwa kulipa claim yako.Hawa wapuuzi nimewahama. Walichukua almost a year kunilipa kitu ambacho kiko straightforward.
Agent wa Bima wengi ni makanjanja sana, nilisha acha na mie hela kwa Sanlam.. wapuuzi sanaHawa wapuuzi nimewahama. Walichukua almost a year kunilipa kitu ambacho kiko straightforward.
Hakuna longolongo, lazima wahakikishe namna ajali ilivyotokea. Sio unalipwa hovyohovyo tu. Labda mtoto wako amebonda gari lako alafu unataka malipo. Achana na habari za waduanzi wapenda sifa.Kwa maelezo ya wengi humu hizi kampuni za bima zina longolongo kwenye kulipa
Nitachukua huu ushauri kwa matumizi ya baadae.Kampuni ya bima wakikuzingua kulipia claim yako, waambie wakuandikie kwa maandishi barua ya kushindwa kulipa claim yako.
Baada ya hapo tumia pesa yako binafsi kutengeza gari. Baadae tafuta kampuni ya mikopo au mtu binafsi. Muandikishiane mkataba kuwa alikukopa pesa za hayo matengenezo kwa riba. Kisha kaa kimya wacha muda uende hata miezi sita endelea kutumia gari.
Baada ya miezi kadhaa mfano miezi sita nenda kwa wakili akusindikize mahakamani mtengeneze kesi ya kuishitaki kampuni ya bima kushindwa kusettle claim yako na kukutia hasara ya kuingia madeni ya mkopo wa riba kinyume na mkataba.
Supportive documents ni hizo nyaraka nilizokutajia hapo juu. Wapelekee barua ya Summon ya mahakama.
Kaa nyumbani ukila popcorn [emoji897] ukitazama namna huu mtanange utakavyowafanya waje kukupigia magoti mana hela watayokulipa ni zaidi ya bei ya gari yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni probox mkuu,nataka kujua bei ya used japan hiyo taa maana kwa iringa nmekosaHii ni probox?
Mzee wa road tripMti kitu kingine kabisa,hata ukiwa mwembamba.
Wewe lazima utakuwa mchawi au unaukaribia uchawi sheitwan kabisa wewe. Shida zako zinakufanya unachukia mafanikio ya wengine. Pambana kutafuta pesa nyumbu weweHakuna longolongo, lazima wahakikishe namna ajali ilivyotokea. Sio unalipwa hovyohovyo tu. Labda mtoto wako amebonda gari lako alafu unataka malipo. Achana na habari za waduanzi wapenda sifa.
Dah, wabongo bana. Hapo nimekosea nini? Taratibu za bima kufanya malipo lazima wahakikishe ajali ilivyokuwa.Wewe lazima utakuwa mchawi au unaukaribia uchawi sheitwan kabisa wewe. Shida zako zinakufanya unachukia mafanikio ya wengine. Pambana kutafuta pesa nyumbu wewe
Ona hili mbulula nyumbu hilo gari ata halina sifa yoyote ya ziada..kwanza lina shepu mbaya, halina mwendo Japan wanayatumia kuendea shamba.Kwani kupenda gari mpaka niwe nayo. Kweli sina gari lakini naifagilia Kluger.
🙏Ona hili mbulula nyumbu hilo gari ata halina sifa yoyote ya ziada..kwanza lina shepu mbaya, halina mwendo Japan wanayatumia kuendea shamba.
Unapomuona muhuni kapaki chombo anakula heineken zake ujue kuwa sio kitotoDuh, Ama kwel Gari ukiwa na vijisenti itakutoa kamasi
Wewe una roho mbaya na hyo roho mbaya yako imekufanya kuwa mchawi au unaukaribia uchawi. Tafuta pesa acha usheitwan huo kumbe gari unaishia kuziona road tu alaf unakuja ku attack watu hapa jukwaaniDah, wabongo bana. Hapo nimekosea nini? Taratibu za bima kufanya malipo lazima wahakikishe ajali ilivyokuwa.