Kampuni ya bima wakikuzingua kulipia claim yako, waambie wakuandikie kwa maandishi barua ya kushindwa kulipa claim yako.
Baada ya hapo tumia pesa yako binafsi kutengeza gari. Baadae tafuta kampuni ya mikopo au mtu binafsi. Muandikishiane mkataba kuwa alikukopa pesa za hayo matengenezo kwa riba. Kisha kaa kimya wacha muda uende hata miezi sita endelea kutumia gari.
Baada ya miezi kadhaa mfano miezi sita nenda kwa wakili akusindikize mahakamani mtengeneze kesi ya kuishitaki kampuni ya bima kushindwa kusettle claim yako na kukutia hasara ya kuingia madeni ya mkopo wa riba kinyume na mkataba.
Supportive documents ni hizo nyaraka nilizokutajia hapo juu. Wapelekee barua ya Summon ya mahakama.
Kaa nyumbani ukila popcorn [emoji897] ukitazama namna huu mtanange utakavyowafanya waje kukupigia magoti mana hela watayokulipa ni zaidi ya bei ya gari yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]